Hii style nimeiona kwa wengi mjini

True... ila hiyo 350 ni normal tu kwa wengi... kijiwen nina bwana mdogo mmoja 26 years tunapiga kazi yy analipa 900k.Mawazo yako haya hutakaa mshawishi...atakupiga makofi [emoji23]
Hata kama atapiga mtu makofi, regardless ya kipato chake, hivi ni kwanini alipe 900k?
Ninaamini huyu dogo hajitambui!

Sent from my TECNO BC1 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukiona hivyo ujue manyanyaso ya wenye nyumba yamezidi.
 
Maskini wa Kwamtogole anaeishi maisha sawa na tajiri wa Buza!
 
Ukishapata kiwanja umeshapata password. Ukiwa unaishi hapo hapo Ina accelerate speed. Unaweza kuacha kunywa bia kwa uchungu.
Hapa nimekalia shamba la hekari moja unusu,mjini kabisa,habari za mabanda ya kuku na vibustani vya nyanya achana navyo,ila hapa hakuna NYUMBA, kuna kinyumba tu, na michongo haitulii hata,natafuta mchawi nani!
 
Ukiona hivyo ujue manyanyaso ya wenye nyumba yamezidi.
Ni kwel mkuu ila mimi nimekua na bahati sana.
Nimepanga nyumba 5 toka nianze kujktegemea ila nimekua nikikutana wenye nyumba peaceful sana..Unakaa na kodi ya mtu hata miezi mi 4 wala hana habari na kwe
 
Umenena akili tupu!
 
Biashara sio kwa kila mtu mkuu, tena nyakati hizi za mzee baba, unaweza kushangaa 45 yote imeungua!!
Mkuu, acha tu nimeunguza 4M hivihivi, hii nyakati ngumu sana tena sana
 
Haya Ni mawazo ya kupuuzwa haya Ni mawazo Kama ya mdogo angu......
Unakimbilia kununua gari la gharama kubwa wakati huna kiwanja Wala nyumba....
Usikariri mzee..Mimi nilinunua gari mwaka 2018 directly imported from Japan nikiwa nimepanga kwenye chumba kimoja, na sina hata kiwanja.
Mwaka huu 2021 tukijaliwa uzima nitajenga nyumba ya zaidi ya 50m.
Sijafeli popote pale, ni suala la vipaumbele tu.
 
Ni kwel mkuu ila mimi nimekua na bahati sana.
Nimepanga nyumba 5 toka nianze kujktegemea ila nimekua nikikutana wenye nyumba peaceful sana..Unakaa na kodi ya mtu hata miezi mi 4 wala hana habari na kwe
Dah!!!!,Kweli una bahati.
 
Kuna jamaa yangu yuko kwenye mifuko ya hifadhi analipa nyumba laki 5 sinza mwaka wa 6 huu na hana mpango wa kujenga
Mtu mwenye uwezo wa kulipa kodi ya nyumba laki 3 na nusu kwa mwezi uchumi wake ni mzuri asee ningekuwa mimi nahamishia maisha pembezoni mwa mji ambako maisha ni nafuu ndani ya miaka 5 ntakuwa nshajenga.

Japo kupanga ni kuchagua.
 
Tunaweza kudhani kuwa Watanzania wengi wanakufa kwa Corona tu kwa sasa ila kwa ulichokiandika ( kukiwasilisha ) hapa uko sahihi na siyo Siri wengi ama wanakuwa Wehu ( Wendawazimu ) au hata kupata Magonjwa ya Moyo ( Presha ) kupelekea hadi Kufa Kwao kama si kupatwa na Viharusi kutokana na Madeni makubwa waliyonayo kwa Kukopa huku Maisha yao yakizidi tu kuwa Magumu na hali kuwa vulu vulu tupu. Bandiko lako hili ni zuri sana, la Kiakili, linafikirisha na linaelezea Taswira ya kweli ya Kimaisha kwa Watanzania wa Kipato cha Kati na hata wale wa Kipato cha chini ( Masikini ) kabisa kama Mimi Mwakilishi wao Mkomavu.
 
Uzi huu unatuonesha mawazo ya vijana. Hata sisi kwenye umri huo tulikuwa na mawazo kama hayo...ila mtabadilika tu hopeful before it's too late.
 
Umeongea sana lakini bado hata wewe unabaki kua ni mtazamo wako tu...kila mtu huishi apendavyo,mimi nikijana na nina uwezo wa kuishi mjini kama usemavyo pia nilikua na uwezo wa kujenga mjini hivyo hivyo,lakini nimeenda kujenga nje ya mji kutafuta utulivu maana ndicho ninacho penda,so kila mtu ana mawazo na mtazamo wake binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…