Hii style ya Harmonize kuchukua beat na kurudia nyimbo atakuwa ametoka nayo huko alikotoka?

Yeye sio wakwanza wala wa mwisho... ukisikiliza nyimbo ya Diamond baba lao ni copy and paste ya nyimbo ya Naira malley wa Nigeria nahisi alimlipa maana ka copy Kila kitu mpaka video
 
Yas ndo maana hiyo ametoka nayo huko maana wasafii ambao wako nje ya wasafi huskii ama ni nadra sana kusikia ama wamekocopy sijui kutoka wapi!
 
Fm academia hawana hizo nyimbo..ila waliimba kama request maalum kwa mashabiki wao katika live show zao
 
Rangi ya Chungwa na Georgina zimeimbwa na wengi tangu orijino zake zitoke. Miongoni mwa walioimba ni academia. Of course ni live hata kwenye hard drive yangu hizo nyimbo ni live.

Sasa swali, waliimba hawakuimba?
 
Mtoa mada hakumaanisha hivo. Kuna live, kuna cover, remix, mashup na kuna copy paste (kujimilikisha) kama anazoongelea mtoa mada
 
Rangi ya Chungwa na Georgina zimeimbwa na wengi tangu orijino zake zitoke. Miongoni mwa walioimba ni academia. Of course ni live hata kwenye hard drive yangu hizo nyimbo ni live.

Sasa swali, waliimba hawakuimba?
Rangi ya chungwa=marijani og
rangi ya chungwa ya fm ni live sio official song ya fm..huwezi kuikuta popote kwenye maktaba yao... Tena wanaweza hata wasikumbuke waliimba ukumbi gan....hapo ukute camera man aliivujisha tu wakati anarecord shoe

ngoja nimalizie k vant yangu hapa
 
Unawezaje kujua kila mtu ameshasikiliza hiyo Album....binafsi sijaisikiliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…