Hii Super League Ina Mapungufu Makubwa

Hii Super League Ina Mapungufu Makubwa

Utopolo ukitaka ucheze super league ufike anagalau robo fainali mara kadhaa mfululizo ndani ya miaka mitano...utakua na points za kutosha...uwe na mashabikia wanaojaa uwanjani wakati wa mechi za kimataifa sio wanaojaa kwenye bonanza tuu... muwe na mikakati endelevu na project ya maendeleo yanayoeleweka sio nyie timu mmeiuza kwa jsm...alafu unakuja kulalamika hapa..timu kubwa Tanzania ni moja tu Simba..labda namungo anaweza fatia kwa mbaali maana ana points 2 caf ukijumlisha na 28 za simba unapata 30 zilizokusaidia mwaka jana kucheza ccl ukaliabisha taifa wewe sijui unapoints ngapi nnauhakika hazijafikia mbili
Acha ushabiki

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Yanga mna nongwa sana. Mngekuwepo kwenye hizo timu 24 msingetia neno. Mumekalia majungu tu
 
Yanga mna nongwa sana. Mngekuwepo kwenye hizo timu 24 msingetia neno. Mumekalia majungu tu
Aliyekwambia Simba ipo ni nani??
Weka hapa hizo timu, au ingia kwenye tovuti ya CAF kama utaona huo ujinga unaowaza wewe.

Mashabiki wa Simba ni Mbumbumbu sana, hawasomi masharti ya jumla ya michuano yoyote, hata hili la kuanzia mchangani tuliwaelimisha ni namna gani inatokea na wao wakaza matako kuwa wao lazima waanzie raundi ya kwanza.

Hata hili kuna masharti yake, namna timu zinavyopatikana, idadi kwa kila nchi nk. Mfano sheria inataka kila kutoa timu si zaidi ya 3, lkn ukiangalia list mnayotumiana unaona Misri ina timu 4, AL AHLY, ZAMALEK, PYRAMID na AL MASRY. Unakaa unajiuliza hawa mashabiki wa Simba wana akili sawasawa kichwani??

Tumieni akili kwenye kila kitu, michuono yoyote ile sio favour ni qualities na ambayo hupatikana kutakona na perfomance ya Ligi yako ya ndani.

MASHABIKI WA SIMBA NI WAPUMBAVU na WAJINGA.
 
Watashiriki Yanga kwakua wamemaliza Ligi unbeaten, usilalamike.
 
Wazungu hawajaikataa spain wanataka kama leo na hata team baadhi ligi kuu uingereza walikubali ila shida ilikuja kwenye utekelezaji ikabidi wajitafakari kelele zote hzo kwasababu utopolo haipo hapo na kama TFF ndo angekuwa anapendekeza team au kushiriki kuchagua team itakayoshiriki haya mashindano basi nchi isingekalika kwa kelele za mambumbu wa utopolo wakiongozwa na yule mke wa engineer hersi aliyejifanya MC.
Dunia nzima hii ligi ilikataliwa na mashabiki na baadhi ya wachezaji

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Aliyekwambia Simba ipo ni nani??
Weka hapa hizo timu, au ingia kwenye tovuti ya CAF kama utaona huo ujinga unaowaza wewe.

Mashabiki wa Simba ni Mbumbumbu sana, hawasomi masharti ya jumla ya michuano yoyote, hata hili la kuanzia mchangani tuliwaelimisha ni namna gani inatokea na wao wakaza matako kuwa wao lazima waanzie raundi ya kwanza.

Hata hili kuna masharti yake, namna timu zinavyopatikana, idadi kwa kila nchi nk. Mfano sheria inataka kila kutoa timu si zaidi ya 3, lkn ukiangalia list mnayotumiana unaona Misri ina timu 4, AL AHLY, ZAMALEK, PYRAMID na AL MASRY. Unakaa unajiuliza hawa mashabiki wa Simba wana akili sawasawa kichwani??

Tumieni akili kwenye kila kitu, michuono yoyote ile sio favour ni qualities na ambayo hupatikana kutakona na perfomance ya Ligi yako ya ndani.

MASHABIKI WA SIMBA NI WAPUMBAVU na WAJINGA.
Washabiki wa SIMBA ni halali kabisa kuitwa walivyoitwa na M/KITI wao Ndugu Rage.....

Ni mbumbumbu haswaa yani wenyewe mihemuko ndio mbele kuzidi logic ya kitu fulani
 
Naona unamtafutia chura nafasi kwa nguvu zote [emoji23] kubalini kwamba nyie ni wadogo vinginevyo hamtakua
Ni ligi ambayo ulaya waliikataa na ikashindikana kule,sasa hawa wakubwa wa Fifa wameileta huku Afrika kwakua bara hili kwa kiasi kikubwa linakabiliwa na uchumi mbovu na njaa,haraka haraka wamelipitisha lakini ukiangalia muundo mzima wa ligi hii na uendeshaji wake unaona umekaa kibaguzi zaidi.

Mfano
1)kwenye ushiriki.
Wanapendekeza washiriki wawe timu zilizo kwenye rank ya Caf ambapo wanachukua timu 24 tu
Sasa unajiuliza hiyo Caf ranking ina validity ipi? Maana mfano mara ya mwisho kwa nchi ya Tanzania timu ambazo zilikua jirani jirani katika rank hiyo ni Simba na Namungo kitu ambacho Unaona si sahihi kwani tokea timu hizo zipewe rank umepita muda mrefu na timu zimeporomoka sana tofauti na pale walipopewa rank lakini Caf bado anatambua rank ambayo imepitwa na wakati hili haliko sawa.

2)Timu shiriki zinaenda kulipwa mabilioni ya pesa ambayo yanakwenda kujenga tabaka kubwa kati ya timu shiriki na zile ambazo hazishiriki anyway si jambo baya mzigo ukiwa mnono lakini limo ndani ya huohuo mfumo ubaguzi wa ushiriki.

3)Kasoro nyingine eti hao washiriki hizo timu 24 ndio hizo hizo zitashiriki miaka yote mpaka pale mmoja wao apigiwe kura ya kuondolewa kwenye ligi hiyo.

Kiufupi ni mfumo mbovu unaokuja kudhoofisha soka la afrika,na ndio kisa unaona hata akina barbara wameomba kueleweshwa zaidi juu ya vigezo na masharti ya hii super ligi.

Hii kitu haifai,wangetaka labda wangefanya katika kila ligi afrika wachukue timu mbili mbili au moja yaani bingwa wa ligi wacheze ligi hiyo na iwepo kila mwaka na upande wa pesa kibaki hivyo hivyo hapo sasa kila timu itapigana ili iwe bingwa ligi ya nyumbani,kulikoni wafanye watakavyo wao.

Wazungu waliikataa hii kitu,njaa zitatuponza wa afrika.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Uto wana hasira hao[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe na wanayanga wenzako ndiyo wajinga always.
Wewe uefa comembol sio wajinga kukataa hiyo kitu. Wameona mbali sana.

Tatizo la waafrica we are so myopic and greedy basi.
Kwani hayo mambk yaliyoainishwa kwenye hiyo super ligi wasingeweza kufanya kwenye champions league. Suala la timu kulalamika kwamba unasafiri africa nzima alafu prize money doesnt cover costs zote sii uwape hela tuu timu zinazoingia group stage na kuongeza prize money.
 
Jamani kaongea ukweli mchungu mm Simba lakini hii itaenda kuwanyanyasa wenzetu imagine kila mwaka Simba hizo hela na wengine hawapati inakuwaje hapo ligi itakuwa ya upendeleo
Yaan kama vile Shule iandae mtihani na zawadi kubwa halafu iseme watu wa kwanza na wa pili ndio wafanye kila darasa inamaana itakuwa inawajenga hao wenye akili tu na wale wa 3 na kuendelea watajipima vipi?
 
kwahyo yanga kutoshiriki imekua ubaguzi kazeni tako muwe na viwango [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe uefa comembol sio wajinga kukataa hiyo kitu. Wameona mbali sana.

Tatizo la waafrica we are so myopic and greedy basi.
Kwani hayo mambk yaliyoainishwa kwenye hiyo super ligi wasingeweza kufanya kwenye champions league. Suala la timu kulalamika kwamba unasafiri africa nzima alafu prize money doesnt cover costs zote sii uwape hela tuu timu zinazoingia group stage na kuongeza prize money.
Usijumuishe Waafrika wote kwenye upuuzi wenu wa Utopolo
 
Ni jambo jema kwa Super League kuletwa Africa kwani angalau na sisi tutaoneka na mchango katika uvumbuzi na utekelezaji wa kitu kipya kwenye mchezo wa mpira.
Kila mara sisi ni wa mwisho yani wa kufuata yale ambayo wenzetu wameshayajaribu kwenye ligi zao, sisi tuna copy na ku paste tu.
Hivyo ni wakati wetu na sisi kufanya majaribio ya huo mfumo pengine tunaweza tukafanikiwa na wao wakaja kujifunza kupitia sisi. Mfano VAR ilianza kutumika kwenye ligi ya Uholanzi mwaka 2012 huko lakini leo dunia nzima inatumika.
 
Back
Top Bottom