Hii Super League Ina Mapungufu Makubwa

Hii Super League Ina Mapungufu Makubwa

Hii imeletwa hapa kama majaribio asee. Mambumbu pekee ndio watafurahia we jiulize kama ni kitu kizuri kwanini wakatae ulaya AF huku wakibariki
 
Wakati simba anaipigania nchi Yanga walikuwa kwenye kamati ya mapokezi.

Sasa kelele zanini wakati kila mtu ana kitengo chake?

Yanga mtaendelea na kitengo chenu cha kamati ya mapokezi huku simba akiendelea na mpira kama kawaida.Hilo halina mjadala

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom