Hii Super League Ina Mapungufu Makubwa

Acha ushabiki

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Yanga mna nongwa sana. Mngekuwepo kwenye hizo timu 24 msingetia neno. Mumekalia majungu tu
 
Yanga mna nongwa sana. Mngekuwepo kwenye hizo timu 24 msingetia neno. Mumekalia majungu tu
Aliyekwambia Simba ipo ni nani??
Weka hapa hizo timu, au ingia kwenye tovuti ya CAF kama utaona huo ujinga unaowaza wewe.

Mashabiki wa Simba ni Mbumbumbu sana, hawasomi masharti ya jumla ya michuano yoyote, hata hili la kuanzia mchangani tuliwaelimisha ni namna gani inatokea na wao wakaza matako kuwa wao lazima waanzie raundi ya kwanza.

Hata hili kuna masharti yake, namna timu zinavyopatikana, idadi kwa kila nchi nk. Mfano sheria inataka kila kutoa timu si zaidi ya 3, lkn ukiangalia list mnayotumiana unaona Misri ina timu 4, AL AHLY, ZAMALEK, PYRAMID na AL MASRY. Unakaa unajiuliza hawa mashabiki wa Simba wana akili sawasawa kichwani??

Tumieni akili kwenye kila kitu, michuono yoyote ile sio favour ni qualities na ambayo hupatikana kutakona na perfomance ya Ligi yako ya ndani.

MASHABIKI WA SIMBA NI WAPUMBAVU na WAJINGA.
 
Watashiriki Yanga kwakua wamemaliza Ligi unbeaten, usilalamike.
 
Dunia nzima hii ligi ilikataliwa na mashabiki na baadhi ya wachezaji

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Washabiki wa SIMBA ni halali kabisa kuitwa walivyoitwa na M/KITI wao Ndugu Rage.....

Ni mbumbumbu haswaa yani wenyewe mihemuko ndio mbele kuzidi logic ya kitu fulani
 
Naona unamtafutia chura nafasi kwa nguvu zote [emoji23] kubalini kwamba nyie ni wadogo vinginevyo hamtakua
 
Uto wana hasira hao[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe na wanayanga wenzako ndiyo wajinga always.
Wewe uefa comembol sio wajinga kukataa hiyo kitu. Wameona mbali sana.

Tatizo la waafrica we are so myopic and greedy basi.
Kwani hayo mambk yaliyoainishwa kwenye hiyo super ligi wasingeweza kufanya kwenye champions league. Suala la timu kulalamika kwamba unasafiri africa nzima alafu prize money doesnt cover costs zote sii uwape hela tuu timu zinazoingia group stage na kuongeza prize money.
 
Jamani kaongea ukweli mchungu mm Simba lakini hii itaenda kuwanyanyasa wenzetu imagine kila mwaka Simba hizo hela na wengine hawapati inakuwaje hapo ligi itakuwa ya upendeleo
Yaan kama vile Shule iandae mtihani na zawadi kubwa halafu iseme watu wa kwanza na wa pili ndio wafanye kila darasa inamaana itakuwa inawajenga hao wenye akili tu na wale wa 3 na kuendelea watajipima vipi?
 
kwahyo yanga kutoshiriki imekua ubaguzi kazeni tako muwe na viwango [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Usijumuishe Waafrika wote kwenye upuuzi wenu wa Utopolo
 
Ni jambo jema kwa Super League kuletwa Africa kwani angalau na sisi tutaoneka na mchango katika uvumbuzi na utekelezaji wa kitu kipya kwenye mchezo wa mpira.
Kila mara sisi ni wa mwisho yani wa kufuata yale ambayo wenzetu wameshayajaribu kwenye ligi zao, sisi tuna copy na ku paste tu.
Hivyo ni wakati wetu na sisi kufanya majaribio ya huo mfumo pengine tunaweza tukafanikiwa na wao wakaja kujifunza kupitia sisi. Mfano VAR ilianza kutumika kwenye ligi ya Uholanzi mwaka 2012 huko lakini leo dunia nzima inatumika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…