Hii Super League Ina Mapungufu Makubwa

Bakini hivyo hvyo na vinyesi vyenu, Utopolo kinachowauma ni Biliwon 8 [emoji23][emoji23]
 
kunywa panadol maumivu yakizidi muone Ahmedy Ally a.k.a sumu ya panya mende[emoji23][emoji28]
 
una matani wewe, kitu kipya kivipi wakati ulaya na south america wamekataa. wao sio wajinga wameona mbali.
tatizo africa njaa ndio inaendesha maaumuzi na sio akili.
 
una matani wewe, kitu kipya kivipi wakati ulaya na south america wamekataa. wao sio wajinga wameona mbali.
tatizo africa njaa ndio inaendesha maaumuzi na sio akili.
Kwa hiyo Real madrid, Man u, Arsenal , Juventus, Barcelona, Man city n.k wana njaa? Maana hao ndio walitaka kuanzisha hiyo super league ila viongozi wa vyama vya soka wakapinga.
Yaani kwa ulaya vilabu ndio vilitaka kuanzisha hiyo ligi ila hawakuungwa mkono na viongozi wa vyama vya soka. Sasa jiulize akina Real madrid ya Perez ina njaa gani?
 
 
CAF ndio FIFA ya Afrika utulie tu kama unapashwa moto.
 
YANGA = JINGA
 
Mashabiki wa Yanga mnapanic maepma sana.
Mpangilio wa hii ligi bado haujatoka.

Utaratibu kamili utatoka na namna ya upatikanaji wa washiriki pia.

Kaa kwa kutulia
 
Dunia nzima hii ligi ilikataliwa na mashabiki na baadhi ya wachezaji

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Sio kweli laliga walikubali kwasababu hawako sawa kiuchumi unaona mpaka leo Barcelona hawajarudi kwenye hali yao ya zamani wanadai korona iliwarudisha nyuma labda baadhi ya team za English premier league.
 
Mie sikubaliani na hiyo argument kwa sababu moja kuu. Timu za africa kutokupata sponsors wengi ni kwa sababu ya poor administration. Kila kitu ni kuweka ten percent kama sio fifty percent. No sponsor anataka weka hela kwenye kitu ambacho kinaharibu image yake.
 
Shida yenu mnaweka mbele ushabiki,hujasikia dada yenu huko arusha ameomba kuelimishwa zaidi?

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Sasa league si ngeni tatizo na amesema haiwezekani arsenal ashiriki vikao vya UEFA wakati hayupo UEFA hvyo utopolo tulieni hvyo na point zenu 0.5 .
 
Kwa nini vyama vya mipra vilikataa? Ni kwa sababu waliona mbali ila vyama vya africa kwa sababu ya njaa zao ndio maana wamekubali.

Hivyo vilabu vimekubali kwa sababu wao wameshaona kuwa ndio watakuwa the biggest winners financially.

Okay tuchukulie simba wapo ha na all goes well wanashinda hiyo ligi. Wana dollar millio 11 prize money. Wanaweza kwenda nunua wachezaji wowote ulimwenguni huko wee unadhani starting 11 ya simba itakuwa na wazawa wangapi? Sii hadi huku watakuja kuomba tff kuwa waweze kufield 11 foreign players...so it is to the detriment of local football.

Twende mbele turudi nyuma hao wazungu na south aerica kukataa tayari wanajua tatizo lipo wapi. Kuna njia nyingi zingine za kubora hiyo champions league. Ongeza prize money. Fanya utafuti waulize vilabu on average wanatumia gharama kiasi gani mpaka kufika final. After that wewe weka prize money iwe three times the average cost ya kufika champions league final tuone kama watu hawatauana.

Unaweza kwenda even further ukasema kabisa kuwa 25% ya hiyo hela lazima iende kwenye academys.
Wee leo hii ona jinsi watu tunavyodanyanyana u20 wanacheza mijeba. Huku ndio hela ilipopaswa kuwekwa na sio hiyo super league. Super league will not be a panacea to african football lagging behind.
 
Wee usidhani wote humu ni wana mambo ya simba na yanga. Wapo watu tunapenda boli basi.

Waafrica wapuuzi wasingekuwa wapuuzi tungekuwa tulishashinda kombe la dunia. Tungekuwa tayari tuna spot zaidi ya tano world cup.
Mpuuzi mwenyewe na ukoo wako wote,huna adabu hata kidogo.
 
Local football ya Zanzibar ina mafanikio gani maana klabu zote wazawa ni 99%.? Klabu za zanzibar zina mafanikio gani kwenye mashindano ya CAF ? Ni kwamba hazifanikiwi sababu ni klabu masikini. Hazina uwezo wa kutengeneza mchezaji mzawa wa kisasa.

Kwa nini hauwazi hiyo hela simba ikipata asilimia kadhaa itajenga academy za u10, 12, 20 n.k bali unawaza kwamba hiyo hela itakuwa ni kununulia wachezaji wa kigeni tu?

Kwani hiyo 25% ya kuendeleza academy haiwezi kutokea kwenye zawadi za kutokea super league, kwa nini uone inawezekana tu kupitia champions league?
 
Hata wao ndio wana njaa

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…