Hii Taarifa ya Tanzania kutumia bilioni 558 kununua magari imekaaje?

Hii Taarifa ya Tanzania kutumia bilioni 558 kununua magari imekaaje?

Magari ya takayotumika kuteka raia hayo😂😂
 
Hii ndio sababu sitaki kusikia kuhusu siasa. Kuna mambo kama una akili timamu unaweza jikuta unapiga ngumi ukuta.

Mwisho wa siku muumiaji utabaki kuwa wewe tu.
 
Back
Top Bottom