Hii Taarifa ya Tanzania kutumia bilioni 558 kununua magari imekaaje?

Magari ya takayotumika kuteka raia hayo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hii ndio sababu sitaki kusikia kuhusu siasa. Kuna mambo kama una akili timamu unaweza jikuta unapiga ngumi ukuta.

Mwisho wa siku muumiaji utabaki kuwa wewe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ