Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 7,843
- 10,321
Raha ya kukata gogo ukate ukiwa na earphone ata ile pritataa taaaaaa hauisikiii unasikia iokote ya Maua Sama tuHakuna kitu kinachoitwa hasira una mizuka yako ya kukata gogo maeneo haswa ya vyoo vya sehemu ya starehe au stand unaingia unapishana na mtu anatoka msalani kavaa vizuri kabisa unaingia tu hamadi unakutana na gogo hata halijasafirishwa lipo limejaa kwenye tundu yaani mpka mzuka wa kukata gogo unaisha kabisa sasa niwaulize nyie wenye tabia hizo hivi huwa hamuangalii magogo mliyoyakata nahisi hata kutawaza huwa hamtawazi kabisa haiwezekani ukate gogo ushindwe kulisafirisha ili hali na maji yamo mnakera sana badilikeni
Unanikosea adabu kuniita bwana mdogo ili hali nina wajukuu[emoji41]bwana mdgo kwani una tesekaView attachment 974502
Raha ya kukata gogo ukate ukiwa na earphone ata ile pritataa taaaaaa hauisikiii unasikia iokote ya Maua Sama tu
Na ukimaliza kukata ulisafirishe sehemu husika siyo unaliacha tu
Safiiiiii..hi nzuri..tena uende haja kubwa halafu uingie bafuni kuoga...Unatakiwa uwe na ratiba maalumu ya kwenda haja kubwa.
Safiiiiii..hi nzuri..tena uende haja kubwa halafu uingie bafuni kuoga...
Mi kukatia gogo mitaani kulishanishindaga mana nimezoea nkitaka kuanza hii shughuli navua nguo zote ili nikate gogo kwa uhuru kabisa, sasa vyoo vya mitaani hii shughuli siiwezi
Watanzania tulivyokuwa wa ajabu yaani kila kitu huwa tunataka iwe ka mashindano!Una gogo wewe au kigogo.
Watanzania tulivyokuwa wa ajabu yaani kila kitu huwa tunataka iwe ka mashindano!
Unataka nkupachike?Wewe una gogo?
Unaweza kutembea na gogo makalioni?Unataka nkupachike?
Nilikuwa tandahimba Nikaingia kile choo cha nje kama unateremka kwenda chini aiseeUmesemea standi ipi maana niko huko sijajua wee unamaanisha ipi
Kuna choo kimoja jengo la nsssf aiseee ofisi ile usafiri chooni ni ziro kabisaNikiwa town ma nikihitaji hiyo huduma najifanya mteja wa benk then naomba sehemu ya kutatua shida zangu,sababu vyoo vyao ni safi