Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 7,843
- 10,321
Hakuna kitu kinachoitwa hasira una mizuka yako ya kukata gogo maeneo haswa ya vyoo vya sehemu ya starehe au stand unaingia unapishana na mtu anatoka msalani kavaa vizuri kabisa unaingia tu hamadi unakutana na gogo hata halijasafirishwa lipo limejaa kwenye tundu yaani mpka mzuka wa kukata gogo unaisha kabisa sasa niwaulize nyie wenye tabia hizo hivi huwa hamuangalii magogo mliyoyakata nahisi hata kutawaza huwa hamtawazi kabisa haiwezekani ukate gogo ushindwe kulisafirisha ili hali na maji yamo mnakera sana badilikeni