Hii tabia kwa sasa imekidhiri na inakera..

Hii tabia kwa sasa imekidhiri na inakera..

Proffesor

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2014
Posts
2,164
Reaction score
2,968
Proffesor anasema... utakuta mtu anaoa fine vizur .. ndoa ya kilokole ..fine vizur ... jamaa anakupangia u mchangie tsh 300,000 ... dahhh ndoa ya kilokole ambayo hakuna gambe ( pombe ) .. mchango tsh 300,000... me jamaa imebidi ni mchane live ntatoa tsh 10,000 because inatosha kabisa kununua creti moja la soda au box la azam juice. .. kungekuwa na gambe hapo sawa ..ila hii tabia sio.. kwanza budget ya ndoa ya kilokole haizidi tsh 3 millions. .
 
Fine vzr?...
prof hujui kuandika kiswahili fasaha..sio imekidhiri ni imekithiri.
 
Kwani harusi ni soda tu?hutokula ww?huhitaji entertainment? Wengine mnataka mpaka zawadi za kwenda nazo nyumbani lol :A S wink:
 
Mkuu ongeza kidogo.........crate ya soda ni 11600........at least.........khaaaaa.
 
Wewe ndio wale mnaobeba vinywaji kurudi navyo nyumbani
 
Back
Top Bottom