Proffesor
JF-Expert Member
- Aug 13, 2014
- 2,164
- 2,968
Proffesor anasema... utakuta mtu anaoa fine vizur .. ndoa ya kilokole ..fine vizur ... jamaa anakupangia u mchangie tsh 300,000 ... dahhh ndoa ya kilokole ambayo hakuna gambe ( pombe ) .. mchango tsh 300,000... me jamaa imebidi ni mchane live ntatoa tsh 10,000 because inatosha kabisa kununua creti moja la soda au box la azam juice. .. kungekuwa na gambe hapo sawa ..ila hii tabia sio.. kwanza budget ya ndoa ya kilokole haizidi tsh 3 millions. .