Hii tabia ni mbaya sana kwa baadhi ya wanaume wa JamiiForums. Kupewa namba sio lazima

Hii tabia ni mbaya sana kwa baadhi ya wanaume wa JamiiForums. Kupewa namba sio lazima

Hapo kwenye kupiga goli😁🤣mbona Inawezekana Ila mbona mimi Sina gari, Sina mke mkali, Sina nyumba wala kiwanja

Nina leseni tu ya udreva na degree yangu plus jobless Intelligent businessman hatuna maisha tutoe kwenye hilo kundi
Goli 5 huwezi kupiga daily, goli 5 unaweza kupiga kwa mwanamke mpya ambae hujawahi kumla halafu pia lazima uwe una muda kidogo toka umefanya sex ya mwisho, umekusanya nguvu kidogo.

Mimi kwa mfano, nilikua naweza kuunganisha bao 2 hadi 3 miaka kadhaa ya nyuma. Siku hizi siwezi kuunganisha, yaani ni non stop kwa goli la kwanza na la pili ama hadi la 3, hakuna ile kitu inaitwa refractory period.

Siku hizi siwezi kuunganisha, lazima nipige la kwanza, nivute upepo kidogo, nipige la pili na kuendelea kwa mtindo huo. Nimekuja kugundua kwamba enzi zile naunganisha kwanza nilikua napata sex kwa manati, sikua na hela hivyo wanawake wazuri nilikua napata muda sana kuwapata, njia pekee niliyokua nayo ya kupata wanawake ni kutongoza, maneno mengi, stori nyingi hadi nakuja kupata utamu miezi 4 ama 6, nikiishika hiyo kitu naipiga goli 3 non stop kwa sababu ya kiu ya muda mrefu na uchu.

Siku hizi sex napata at will, yaani nikijisikia tu napewa sex daily. Hii imepoteza kabisa uwezo wangu wa kuunganisha mabao.
 
Sasa kwa nini ulete fictitious story huku unaeleza namna unavyopitia changamoto fulani, unategemea sisi tukuelewe vipi?

Kumbuka watu wanatumia resources zao za muda na kuwaza namna gani watakushauri uondokane na hilo janga.

Fikiria mtu analeta story ya namna anavyopambana na maisha, amekata tamaa na anataka kujiua/kufa. Unatoa ushauri na badae unakuja kufahamu jamaa alikuwa anatania, unajisikiaje?
SIjui tuseme ni utoto
 
Goli 5 huwezi kupiga daily, goli 5 unaweza kupiga kwa mwanamke mpya ambae hujawahi kumla halafu pia lazima uwe una muda kidogo toka umefanya sex ya mwisho, umekusanya nguvu kidogo.

Mimi kwa mfano, nilikua naweza kuunganisha bao 2 hadi 3 miaka kadhaa ya nyuma. Siku hizi siwezi kuunganisha, yaani ni non stop kwa goli la kwanza na la pili ama hadi la 3, hakuna ile kitu inaitwa refractory period.

Siku hizi siwezi kuunganisha, lazima nipige la kwanza, nivute upepo kidogo, nipige la pili na kuendelea kwa mtindo huo. Nimekuja kugundua kwamba enzi zile naunganisha kwanza nilikua napata sex kwa manati, sikua na hela hivyo wanawake wazuri nilikua napata muda sana kuwapata, njia pekee niliyokua nayo ya kupata wanawake ni kutongoza, maneno mengi, stori nyingi hadi nakuja kupata utamu miezi 4 ama 6, nikiishika hiyo kitu naipiga goli 3 non stop kwa sababu ya kiu ya muda mrefu na uchu.

Siku hizi sex napata at will, yaani nikijisikia tu napewa sex daily. Hii imepoteza kabisa uwezo wangu wa kuunganisha mabao.
Ni kweli kupiga tano Kila siku kwa nguvu za kawaida ni ngumu labda mara moja moja kwa mwezi

Pia as age mwili unapunguza nguvu ndo maana Ata kina Usain bolt wanastaafu game na miaka 34, mpira hivo, ngumi pia, Ata basketball mtu wa miaka 34 ,35 unakuta kashastaafu
 
Sijasema kuwa ni mimi ndio natoa japo sometime naweza punguza au kuongeza chumvi ili muhusika kutojijua Kama story ikivuja
 
Story za JF sio za kuzichukulia serious, humu kila mtu anapiga goli 5, kila mtu ana mwanamke mkali, kila mtu anamiliki gari, kila mtu ana nyumba kali, kila mtu ana degree na amesoma UDSM, kila mtu alipata division 1 form 4 na six na ana GPA kali.
Kuna huyo mmoja anajisifia sana kuwa na mkwanja niliongea nae video call sura tu ni broke na juu ya paa ile jipsam singbod imeoza inaonesha kuvuja ila nyuzi zake humu kujisifia anamiliki vitu vikali
 
Kuna member alianzisha uzi juzi kati akiomba namna ya kukwepa zawadi sijui na blah blah kama hizo nikamuuliza kama alishawahi kusikia neno SITAKI

Na wewe kama hujawahi kusikia neno SITAKI basi nakuelekeza....maana yake ni kukataa,litumie hilo huko PM,litakusaidia
Kuna Watu wana maneno ya shombo mkuu nafikirii ni wale Watu ambao hawatakagi kukataliwa wanajiamini wao ni special group hivyo wakikataliwa huishia kutukana wenzao
 
Tukianza na wewe wewe siyo wa kike wewe ni wa kiume na inakera sana mtoto wa kiume ku-act uanamke.

Mtoto wa kiume kutunga story kwamba sometimes huwa anafurahia uume siyo jambo la maana hata kidogo aloo acha hizo.
Sawa kwasababu ulinichungulia wape wenzio visibitisho mkuu
 
Back
Top Bottom