Hii tabia ni mbaya sana kwa baadhi ya wanaume wa JamiiForums. Kupewa namba sio lazima

Sikia Sasa Joanah njoo pm tuyajenge,
 
Wanavyokuja kuomba no. huwa wanakushikia panga? Ya nini uhangaike nao iwapo unaweza kupiga kimya au kusema hutaki.

Shida ipo upande wako
 
Crazy!!
 
Ila we Unique flower unapenda kutuchosha akili!yaani umebadili ID lkn mambo yako yaleyale🥲🥲🥲
Sis kumbe hujui kuchunguza, huyu wala sio da mau… yule mwandiko wake una matege na ana id yake nyingine ishacomment hapa hapa 😹😹😹

Sema naye ana swagger za mbali za ki da Mau..!!
 
daah hivi we ni me au ke?😇😇am konfyuzidi
 
Sis kumbe hujui kuchunguza, huyu wala sio da mau… yule mwandiko wake una matege na ana id yake nyingine ishacomment hapa hapa 😹😹😹

Sema naye ana swagger za mbali za ki da Mau..!!
😂😂😂Eeeeh hapo kwenye mwandiko nilisema huyu angalau ananyoosha ila akili zao zimefanana sana bwana....ngoja nimtafute da mau kwenye comment 😂😂
 
Km hutaki usumbufu funga pm, ukiacha lazima waje wakuombe na hizi nyuzi zako waungwana wanataka kuona yaliyomo yamo 😹😹😹
We mtu anakwambia muda wote gari limewaka anataka kupelekewa moto kwa nini vijukuu vya Pharaoh visiombe number😂😂😂
 
😂😂😂Eeeeh hapo kwenye mwandiko nilisema huyu angalau ananyoosha ila akili zao zimefanana sana bwana....ngoja nimtafute da mau kwenye comment 😂😂
Yupo kajaa tele sijui kwann humuoni? 😹😹

Sema huyu da Mau atakuwa teacher wake..!!
Wote wana visa vya kufanana
 
We mtu anakwambia muda wote gari limewaka anataka kupelekewa moto kwa nini vijukuu vya Pharaoh visiombe number😂😂😂
Alisema hagawi bure, nipe nikupe…..wajuba wakamzamia pm wapige bata tredi anazingua..!! Sijui waungwana hawafiki bei 😹😹😹
 
Easy-peasy 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…