Hii tabia ni mbaya sana kwa baadhi ya wanaume wa JamiiForums. Kupewa namba sio lazima

Kuna Watu wana maneno ya shombo mkuu nafikirii ni wale Watu ambao hawatakagi kukataliwa wanajiamini wao ni special group hivyo wakikataliwa huishia kutukana wenzao

Akikutukana kama upo kwenye good mood unampotezea
Siku akikukuta una majanga yako akitukana unaruka nae
 
Vyote hivyo havizuiii kuunganisha mkuu we have been there na tunaunganisha hio ni dalili ya reduced libido
 
Vyote hivyo havizuiii kuunganisha mkuu we have been there na tunaunganisha hio ni dalili ya reduced libido
Kwenye ngono, sidhani kama kuna kitu unaweza kunifundisha kwa sasa mkuu na wala sina riduced sex libido.

Ni either you sex once in a while ndio unaweza kuunganisha ila sio daily sex, haiwezekani. Mimi niko na sex on daily basis na sio kwa mwanamke yule yule mmoja, mutiple women.

In a biological point of view, huwezi kua unafanya sex daily halafu performance yako ikawa ni ile ile daily 7 days a week, 366 day a year na zote hizo unawa unaunganisha mabao 3 kwa siku, hakuna.
 
Kuna matatizo mnajiletea wenyewe,kwanini ufeki mpaka jinsia,na jinsia ni kitu cha kuficha?,wewe ni tapeli?,nakuhakikishia Kuna siku utamponza mwaikimba
 
Sifikiri kama unafaham vya kutosha i have seen pts with same cases multiple times
Unapata sex drive 24/7 lakini you have prolonged refractory period na upo below 50 should be alert mate
 
Sifikiri kama unafaham vya kutosha i have seen pts with same cases multiple times
Unapata sex drive 24/7 lakini you have prolonged refractory period na upo below 50 should be alert mate
I see where you don't get it. Mimi sipati sex drive 24/7, napata actual sex daily, 7 days a week, unless kuwe na unavoidable circumstances pekee mimi nisipate sex siku hiyo. So sina prolonged refractory period.

Niko kwenye mid 30's na nimekua nikipata constant ama daily sex for the last 11 years kwenye mid 20s yangu, ikipita siku 2 sijasex naugua.

Nikimaliza siku 5 sijasex naweza kuunganisha bila shida isipokua muda wa kukaa siku 5 sijasex ndio haupo na why nisibiri siku 5?

It comes down to the point kwamba ukipata recovery period ama abstainance from sex for few days unaweza tu kuunganisha bila shida ila kama una dex daily, haiwezekani mkuu, hilo tusidanganyane.
 
Now you talk
 
Ila we Unique flower unapenda kutuchosha akili!yaani umebadili ID lkn mambo yako yaleyale🥲🥲🥲
Utabiri wako leo umekudanganya mkuu… jaribu tena siku nyingine
 
Wanavyokuja kuomba no. huwa wanakushikia panga? Ya nini uhangaike nao iwapo unaweza kupiga kimya au kusema hutaki.

Shida ipo upande wako
Ndio maana nimekuja kusema humu kwani kuna dhambi gani mkuu siruhusiwi kusema kitu kinachonikera mkuu basi mwambie melo afute uzii mkuu
 
Sis kumbe hujui kuchunguza, huyu wala sio da mau… yule mwandiko wake una matege na ana id yake nyingine ishacomment hapa hapa 😹😹😹

Sema naye ana swagger za mbali za ki da Mau..!!
🤣🤣🤣🤣 kwaiyo nina swagger za mbali za ki da Mau… halafu unaeza kuta huyo da mau ni kabibi flan hivi ka sisiemu
 
Km hutaki usumbufu funga pm, ukiacha lazima waje wakuombe na hizi nyuzi zako waungwana wanataka kuona yaliyomo yamo 😹😹😹
Nitakuwa nawatumie matako ya ng’edere wakiomba tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…