Hakuna anayekataa kufa maana wote pua zetu zinaelekea chini.....ila nikweli watu kumsaidia mgonjwa ni mara chache sanaKila kitu kimepangwa,,unaweza tumia bilioni moja,ukauza kila kitu,mkarudi ufukara,na mgonjwa bado akafa,,kudra ya mnyazi mungu inahusika sana
Ni ujinga na upuuzi sanaHapo bado tu caption uchwara huko whatsApp "Our dearest dad, the gap you 've left pierces our hearts open πͺπͺπͺπͺπͺπͺ"
Unafki kitu kibaya mno
Nchi nyingi za kimaskini watu hufa mapema kwa kukosa huduma nzuri za afya.
Fanyeni kwa uwezo wenu, kufa hakika tutakufa lakini mtu wako wa karibu akiugua basi kama familia mjiguse japo kwa uwezo wenu. Sio siku amekufa ndio mnachangishana mamilioni ili mkazike, tubadilike kwa kweli.Kila kitu kimepangwa,,unaweza tumia bilioni moja, ukauza kila kitu, mkarudi ufukara, na mgonjwa bado akafa,, kudra ya mnyazi mungu inahusika sana
FYI.. Kila Nafsi itaonja umautiWatanzania tabia zetu nyingi zinafana, inapotokea ndugu, jamaa, mzazi au rafiki anaumwa na pengine kulazwa wengi wetu hawajigusi, sana sana mtu atajitahidi atapiga simu mara mbili kuulizia hali ya mgonjwa basi baada ya hapo anakata mawasiliano.
Sasa inapotokea mgonjwa yule kafariki wengine hupanda hadi ndege kwenda kwenye maziko, na wengine wanajaza magari yao wese hadi huko msibani ilhali muda ule msaada wako wa pesa ulihitajika kwa ajili ya kuokoa maisha ya mgonjwa ulikuwa unasema upo busy.
Mwaka jana kuna msiba ulitokea mtaa wa jirani, huyo baba aliumwa sana lakini watoto wake wengi hata hawakusafiri kwenda kumuona hata pesa wengine walikuwa hawatumi. Basi bwana mwisho wa siku yule mzee akafariki. Watoto wote na ndugu wakasafiri kwenda msibani wakaandaa mabufee ya pilau ndizi na wali, baada ya Padre kumaliza kusoma ibada ya mazishi alikaribishwa chakula lakini akasema pale pale msibani yeye hatokula kwa sababu hiyo familia imepata pesa ya kuaandaa chakula kingi na kizuri lakini lakini kwenye kumuuguza baba yao pesa hawakutuma hadi mzee akapata umauti kwa kukosa huduma nzuri ya afya.
Jamani wandugu tubadilike maisha hayapo hivyo. Huu si uungwana.
Mkuu kifo hakizuiliki wala hakikimbiwi,zilishafanyika tafiti na ikaonekana kuna watu walitumia gharama na mamilioni wakaenda hadi mashariki ya mbali kufuata tiba,lakini mwisho wa siku walifilisika na mgonjwa akafa na familia ikaanza upya kuyajenga maisha na kuishi kwa tabu ilhali pesa mwanzoni ilikuwepo,usilaumu maisha ya watu,pia ikemee familia yako,mambo ya watu wengine wewe hayakuhusu,kwani mbinguni sio wewe utakayetoa hukumu,so usitufokee!Watanzania tabia zetu nyingi zinafana, inapotokea ndugu, jamaa, mzazi au rafiki anaumwa na pengine kulazwa wengi wetu hawajigusi, sana sana mtu atajitahidi atapiga simu mara mbili kuulizia hali ya mgonjwa basi baada ya hapo anakata mawasiliano.
Sasa inapotokea mgonjwa yule kafariki wengine hupanda hadi ndege kwenda kwenye maziko, na wengine wanajaza magari yao wese hadi huko msibani ilhali muda ule msaada wako wa pesa ulihitajika kwa ajili ya kuokoa maisha ya mgonjwa ulikuwa unasema upo busy.
Mwaka jana kuna msiba ulitokea mtaa wa jirani, huyo baba aliumwa sana lakini watoto wake wengi hata hawakusafiri kwenda kumuona hata pesa wengine walikuwa hawatumi. Basi bwana mwisho wa siku yule mzee akafariki. Watoto wote na ndugu wakasafiri kwenda msibani wakaandaa mabufee ya pilau ndizi na wali, baada ya Padre kumaliza kusoma ibada ya mazishi alikaribishwa chakula lakini akasema pale pale msibani yeye hatokula kwa sababu hiyo familia imepata pesa ya kuaandaa chakula kingi na kizuri lakini lakini kwenye kumuuguza baba yao pesa hawakutuma hadi mzee akapata umauti kwa kukosa huduma nzuri ya afya.
Jamani wandugu tubadilike maisha hayapo hivyo. Huu si uungwana.
Nikweli ila hajamulaumu MTU,na siyo lazima yawe yanamuhusu yeye......na siyo visa vyote Jeiefu watu wanavyoleta nimaisha yao au familia zao....ila yapo kwenye jamii yetu tumamo ishi so lazima tujadiliMkuu kifo hakizuiliki wala hakikimbiwi,zilishafanyika tafiti na ikaonekana kuna watu walitumia gharama na mamilioni wakaenda hadi mashariki ya mbali kufuata tiba,lakini mwisho wa siku walifilisika na mgonjwa akafa na familia ikaanza upya kuyajenga maisha na kuishi kwa tabu ilhali pesa mwanzoni ilikuwepo,usilaumu maisha ya watu,pia ikemee familia yako,mambo ya watu wengine wewe hayakuhusu,kwani mbinguni sio wewe utakayetoa hukumu,so usitufokee!
Kweli kabisa Watz sisi ni wanafiki na wazandiki ktk mambo mengi sanaWatanzania tabia zetu nyingi zinafana, inapotokea ndugu, jamaa, mzazi au rafiki anaumwa na pengine kulazwa wengi wetu hawajigusi, sana sana mtu atajitahidi atapiga simu mara mbili kuulizia hali ya mgonjwa basi baada ya hapo anakata mawasiliano.
Sasa inapotokea mgonjwa yule kafariki wengine hupanda hadi ndege kwenda kwenye maziko, na wengine wanajaza magari yao wese hadi huko msibani ilhali muda ule msaada wako wa pesa ulihitajika kwa ajili ya kuokoa maisha ya mgonjwa ulikuwa unasema upo busy.
Mwaka jana kuna msiba ulitokea mtaa wa jirani, huyo baba aliumwa sana lakini watoto wake wengi hata hawakusafiri kwenda kumuona hata pesa wengine walikuwa hawatumi. Basi bwana mwisho wa siku yule mzee akafariki. Watoto wote na ndugu wakasafiri kwenda msibani wakaandaa mabufee ya pilau ndizi na wali, baada ya Padre kumaliza kusoma ibada ya mazishi alikaribishwa chakula lakini akasema pale pale msibani yeye hatokula kwa sababu hiyo familia imepata pesa ya kuaandaa chakula kingi na kizuri lakini lakini kwenye kumuuguza baba yao pesa hawakutuma hadi mzee akapata umauti kwa kukosa huduma nzuri ya afya.
Jamani wandugu tubadilike maisha hayapo hivyo. Huu si uungwana.
Unafiki ndio unaongoza duniaHapo bado tu caption uchwara huko whatsApp "Our dearest dad, the gap you 've left pierces our hearts open πͺπͺπͺπͺπͺπͺ"
Unafki kitu kibaya mno