Hii tabia ya kinafiki kwenye misiba Watanzania tuiache mara moja

Hii tabia ya kinafiki kwenye misiba Watanzania tuiache mara moja

Huu ujinga uko mwingi sana , hadi kwenye magroup ya WhatsApp utakuta watu wanahimizana kuwa na michango ya misiba , hakuna hata group moja linaongelea kuchangia wagonjwa au shida nyingine , ni misiba tu. Yaani ni kama Tanzania ina nyota ya Mauti(kifo). Watu wote wasomi, wanasiasa, watawala, na umma wote tunajali kifo kuliko uhai.
 
Back
Top Bottom