Hii tabia ya kipekee sana sijawahi kuikuta Kwa watu wengine. Je, wewe unaweza kufanya hivyo?

Hii tabia ya kipekee sana sijawahi kuikuta Kwa watu wengine. Je, wewe unaweza kufanya hivyo?

OgaBoy

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2022
Posts
4,031
Reaction score
6,156
Mzee MWENYE gari aina ya land cruiser 70 hardtop lc78.


ALIKUWA mwanasheria nguli, alipiga hela sana MIAKA hiyo basi bhana ALIKUWA na tabia yake mbaya SIJUI nzuri.

Mzee ALIKUWA anang'oa viti vyote anabakiza chake TU watu wakasema hapendi kuongea ongea akiwa KWENYE gari HIVYo Kuna WATU wasumbufu YAANI ni mambo ya story na umbeya KWENYE gari akiwapa lift HIVYo aliamua KUWA anang'oa viti vyote anabakiza chake TU anenda kazini pale mkoa X mahakamani kapaki gari BILA viti. Na suti yake Kali na tai nyekundu yenye vichilizo vyeupe na vyeusi. Kama JASUSI WA CIA.

AKIENDA kanisani anaweka kiti kimoja Kwa ajili ya MKE MPAKA MKE akawa anagoma kupanda anafika Kwa gari za kukodi mme anampa nauli ya kurudi.


HIVI WEWE UNAWEZA KUFIKIA HATUA YA KUONDOA VITI VYOTE VYA GARI KISA HILO KWANINJ USIWAAMBIE AU KIWANYIMA LIFT.
bd18fd3a-99bd-4b1b-b029-f6e6665e1127.jpeg


Hiyo NDO aina ya gari alilokuwa nalo RIP LAWYER
 
Mambo ya Afande Yeyeye R.I.P na Korando yake...
 
Kumbe sio mim pekee yangu. Coz hata mim nimeng'oa vyote kikabaki changu na milango nimepiga seal yote. Uzuri kila mtu ana lake kwa iyo hatusumbuani
 
Kumbe sio mim pekee yangu. Coz hata mim nimeng'oa vyote kikabaki changu na milango nimepiga seal yote. Uzuri kila mtu ana lake kwa iyo hatusumbuani
Hata viatu vya mtumba huna seize gari
 
Back
Top Bottom