Calm downInakuuma nini aloo ?
Si pesa yake ? Hilo gari unajua Alilipataje ?
PeSA zina siri ! Ishi nayo hii, hutaambiwa kila kitu
Mambo ya kufuatiliana bwashee 😆Inakuuma nini aloo ?
Si pesa yake ? Hilo gari unajua Alilipataje ?
PeSA zina siri ! Ishi nayo hii, hutaambiwa kila kitu
Eti Kwa mfano jmosi jamaa ana spana pale maskani kazi kufunga na kufungua viti.Atajua mwenyewe
Bwashee mjini kuna mambo mengi sana.... sio kwamba mwenye hela ni mpambanaji sana, na sio kwamba asiye na hela ni mvivu sanaMambo ya kufuatiliana bwashee 😆
Muhimu ni kufuata yako tu bwasheeBwashee mjini kuna mambo mengi sana.... sio kwamba mwenye hela ni mpambanaji sana, na sio kwamba asiye na hela ni mvivu sana
RealityCalm down
Hata viatu vya mtumba huna seize gariKumbe sio mim pekee yangu. Coz hata mim nimeng'oa vyote kikabaki changu na milango nimepiga seal yote. Uzuri kila mtu ana lake kwa iyo hatusumbuani
sijakuelewa ndugu yanguHata viatu vya mtumba huna seize gari
Sawa tuendelee kufanya kazisijakuelewa ndugu yangu