Hii tabia ya kuagiza chai na chapati mbili aliianzisha nani?

Mwanae wa dar bwana, we ona sousage, mayai, bacon, chapat moja ndo vyakula vyenu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Afu nyinyi wanaume wa dar mnajua afya nzur ni kuwa mlaini kama hivyo mlivyo aaaaa acheni bhana hebu njooni huku mkoani tuwaonyeshe kazi
 
Mwanae wa dar bwana, we ona sousage, mayai, bacon, chapat moja ndo vyakula vyenu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Nimekupa mfano wa varieties...sio ufakamie tu chapati sita. Mimi huwa sili kabisa asubuhi.
 
Didier drogba anakula kuku wa 3 wa kienyeji coz ni mwanaume wa kaz lakin mwanaume wa dar anakula kuku mmoja na hamalizi [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Unazungumzia kuku? Mwanaume wa Dar hata kipapatio hamalizi, pekee anachoweza kumaliza ni figo ya kuku
 
Mwanae wa dar bwana, we ona sousage, mayai, bacon, chapat moja ndo vyakula vyenu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
kuna tofauti kubwa kati ya kujenga mwili na kujaza matumbo

anaekula mayai mawili na juice ya matunda ni tofauti na anaekula chapati 6 na kikombe cha chai kimoja

note: kula sana ni hatari kwa afya yako
 
Bacon hivi ziko Tz?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…