ibuo
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 464
- 438
Mwanae wa dar bwana, we ona sousage, mayai, bacon, chapat moja ndo vyakula vyenu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Chapati sita unajaza tumbo,kumbuka hapo kuna wanga mwingi na mafuta kidogo, afadhali ule sahani mlima ina mchanganyiko. Mtu anaekula chapati moja,maharage,sausage moja,yai moja,bacon moja anakuwa na afya nzuri kuliko unaekula chapati sita na kikombe cha chai.