Hii tabia ya kuagiza chai na chapati mbili aliianzisha nani?

Chapati sita unajaza tumbo,kumbuka hapo kuna wanga mwingi na mafuta kidogo, afadhali ule sahani mlima ina mchanganyiko. Mtu anaekula chapati moja,maharage,sausage moja,yai moja,bacon moja anakuwa na afya nzuri kuliko unaekula chapati sita na kikombe cha chai.
Mwanae wa dar bwana, we ona sousage, mayai, bacon, chapat moja ndo vyakula vyenu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Afu nyinyi wanaume wa dar mnajua afya nzur ni kuwa mlaini kama hivyo mlivyo aaaaa acheni bhana hebu njooni huku mkoani tuwaonyeshe kazi
 
Mwanae wa dar bwana, we ona sousage, mayai, bacon, chapat moja ndo vyakula vyenu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Nimekupa mfano wa varieties...sio ufakamie tu chapati sita. Mimi huwa sili kabisa asubuhi.
 
Didier drogba anakula kuku wa 3 wa kienyeji coz ni mwanaume wa kaz lakin mwanaume wa dar anakula kuku mmoja na hamalizi [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Unazungumzia kuku? Mwanaume wa Dar hata kipapatio hamalizi, pekee anachoweza kumaliza ni figo ya kuku
 
Mwanae wa dar bwana, we ona sousage, mayai, bacon, chapat moja ndo vyakula vyenu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
kuna tofauti kubwa kati ya kujenga mwili na kujaza matumbo

anaekula mayai mawili na juice ya matunda ni tofauti na anaekula chapati 6 na kikombe cha chai kimoja

note: kula sana ni hatari kwa afya yako
 
Chapati sita unajaza tumbo,kumbuka hapo kuna wanga mwingi na mafuta kidogo, afadhali ule sahani mlima ina mchanganyiko. Mtu anaekula chapati moja,maharage,sausage moja,yai moja,bacon moja anakuwa na afya nzuri kuliko unaekula chapati sita na kikombe cha chai.

Bacon hivi ziko Tz?
 
Dah... Labda kwenu tu [emoji13] [emoji13]
f4331e891c6e37dea55f57a3d4bfe8da.jpg
 
Back
Top Bottom