Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Hivi CCM kumchaguo huyu jamaa ni kutaka ushindi kweli? Hata kama wataiba yaani hata huyu jamani aniibie? Wanatudharau sana wananchiNimemsikia anasema hakuna wa kuzuia uchaguzi mkuu katika nchi hii. Naona kama anakosea na anapitiliza sasa. Hii nchi siyo mali ya mtu au chama cha siasa.
Pia soma: Pre GE2025 - Mzee Wasira: Hakuna anayeweza kuahirisha uchaguzi mkuu, watanzania wajiandae
Watanzania wakiamua kuzuia uchaguzi mkuu wanaweza na Wasira na chama chake na serikali kwa ujumla hawatakua na la kufanya.
Madaraka yasitulevye mpaka kujisahau na kuwadharau Wananchi.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hivi nyie wananchi wenzangu wa Nchi hii, kweli mnaamini kua maendeleo yatakuja huyu babu chama chake kikishinda? Yaani kila kitu sura yake inajibu.Nimemsikia anasema hakuna wa kuzuia uchaguzi mkuu katika nchi hii. Naona kama anakosea na anapitiliza sasa. Hii nchi siyo mali ya mtu au chama cha siasa.
Pia soma: Pre GE2025 - Mzee Wasira: Hakuna anayeweza kuahirisha uchaguzi mkuu, watanzania wajiandae
Watanzania wakiamua kuzuia uchaguzi mkuu wanaweza na Wasira na chama chake na serikali kwa ujumla hawatakua na la kufanya.
Madaraka yasitulevye mpaka kujisahau na kuwadharau Wananchi.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Wananchi hao hao ndio wanaipa CCM ushindi wa kishindo. Kwahiyo akiongea Mzee Wassira maana yake anawaongelea hao wananchi ndio hawataki marekebisho ya Katiba hadi baada ya uchaguzi. Lissu na Chadema hawawakilishi wananchi.Nimemsikia anasema hakuna wa kuzuia uchaguzi mkuu katika nchi hii. Naona kama anakosea na anapitiliza sasa. Hii nchi siyo mali ya mtu au chama cha siasa.
Pia soma: Pre GE2025 - Mzee Wasira: Hakuna anayeweza kuahirisha uchaguzi mkuu, watanzania wajiandae
Watanzania wakiamua kuzuia uchaguzi mkuu wanaweza na Wasira na chama chake na serikali kwa ujumla hawatakua na la kufanya.
Madaraka yasitulevye mpaka kujisahau na kuwadharau Wananchi.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mzee akipigaga konyagi mwitu anaanza kusinzia sinzia na kuropoka ropoka ovyo ovyo.Huyu mzee ni mjinga sn huwa anajiona yeye ndiyo Tanzania
Tutashughulika naye vizuri snMzee akipigaga konyagi mwitu anaanza kusinzia sinzia na kuropoka ropoka ovyo ovyo.
Mzee anazeeka mpaka anarud UTOTO
DAAAAH kweliNimemsikia anasema hakuna wa kuzuia uchaguzi mkuu katika nchi hii. Naona kama anakosea na anapitiliza sasa. Hii nchi siyo mali ya mtu au chama cha siasa.
Pia soma: Pre GE2025 - Mzee Wasira: Hakuna anayeweza kuahirisha uchaguzi mkuu, watanzania wajiandae
Watanzania wakiamua kuzuia uchaguzi mkuu wanaweza na Wasira na chama chake na serikali kwa ujumla hawatakua na la kufanya.
Madaraka yasitulevye mpaka kujisahau na kuwadharau Wananchi.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Huyu sokwe lazima tulale nayeHivi nyie wananchi wenzangu wa Nchi hii, kweli mnaamini kua maendeleo yatakuja huyu babu chama chake kikishinda? Yaani kila kitu sura yake inajibu.
Hakuna wa kuzuia uchaguzoNimemsikia anasema hakuna wa kuzuia uchaguzi mkuu katika nchi hii. Naona kama anakosea na anapitiliza sasa. Hii nchi siyo mali ya mtu au chama cha siasa.
Pia soma: Pre GE2025 - Mzee Wasira: Hakuna anayeweza kuahirisha uchaguzi mkuu, watanzania wajiandae
Watanzania wakiamua kuzuia uchaguzi mkuu wanaweza na Wasira na chama chake na serikali kwa ujumla hawatakua na la kufanya.
Madaraka yasitulevye mpaka kujisahau na kuwadharau Wananchi.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kuwa na adabu plseHuyu mzee ni mjinga sn huwa anajiona yeye ndiyo Tanzania
Adabu gani, wewe unaona afya yake nzuri kweli huyo mzee, kwa sura hiyo angempumzika kazeeka kwa hiyo kaziKuwa na adabu plse
Na we siyo wananchi.Nimemsikia anasema hakuna wa kuzuia uchaguzi mkuu katika nchi hii. Naona kama anakosea na anapitiliza sasa. Hii nchi siyo mali ya mtu au chama cha siasa.
Pia soma: Pre GE2025 - Mzee Wasira: Hakuna anayeweza kuahirisha uchaguzi mkuu, watanzania wajiandae
Watanzania wakiamua kuzuia uchaguzi mkuu wanaweza na Wasira na chama chake na serikali kwa ujumla hawatakua na la kufanya.
Madaraka yasitulevye mpaka kujisahau na kuwadharau Wananchi.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kama wanaipa CCM ushindi wa kishindo inamaanisha pia wanayo uwezo wa kuinyima ushindi wa kishindo au kuzuia uchaguzi isifanyike vilevile.Wananchi hao hao ndio wanaipa CCM ushindi wa kishindo. Kwahiyo akiongea Mzee Wassira maana yake anawaongelea hao wananchi ndio hawataki marekebisho ya Katiba hadi baada ya uchaguzi. Lissu na Chadema hawawakilishi wananchi.
Kitu usichojua wewe na viongozi wako vichwa maji ni kwamba uchaguzi uko kwa mujibu wa Sheria na kuvunja Sheria ni kosa!Nimemsikia anasema hakuna wa kuzuia uchaguzi mkuu katika nchi hii. Naona kama anakosea na anapitiliza sasa. Hii nchi siyo mali ya mtu au chama cha siasa.
Pia soma: Pre GE2025 - Mzee Wasira: Hakuna anayeweza kuahirisha uchaguzi mkuu, watanzania wajiandae
Watanzania wakiamua kuzuia uchaguzi mkuu wanaweza na Wasira na chama chake na serikali kwa ujumla hawatakua na la kufanya.
Madaraka yasitulevye mpaka kujisahau na kuwadharau Wananchi.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kweli kabisa. Ila swali la kujiuliza, wasipoipa CCM ushindi wa kishindo watakipa chama gani? Au watabaki bila Serikali?Kama wanaipa CCM ushindi wa kishindo inamaanisha pia wanayo uwezo wa kuinyima ushindi wa kishindo au kuzuia uchaguzi isifanyike vilevile.
Ibara ya 8 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaNimemsikia anasema hakuna wa kuzuia uchaguzi mkuu katika nchi hii. Naona kama anakosea na anapitiliza sasa. Hii nchi siyo mali ya mtu au chama cha siasa.