Pre GE2025 Hii tabia ya kudharau Wananchi haifai. Nimwambie Wasira kuwa watanzania wakitaka kuzuia uchaguzi mkuu Inawezekana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nimemsikia anasema hakuna wa kuzuia uchaguzi mkuu katika nchi hii. Naona kama anakosea na anapitiliza sasa. Hii nchi siyo mali ya mtu au chama cha siasa.

Pia soma: Pre GE2025 - Mzee Wasira: Hakuna anayeweza kuahirisha uchaguzi mkuu, watanzania wajiandae

Watanzania wakiamua kuzuia uchaguzi mkuu wanaweza na Wasira na chama chake na serikali kwa ujumla hawatakua na la kufanya.

Madaraka yasitulevye mpaka kujisahau na kuwadharau Wananchi.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Acha ufala wewe, nyie mashogq hamna uwezo hata kidogo wa kuzuia uchaguzi.
 
Kweli kabisa. Ila swali la kujiuliza, wasipoipa CCM ushindi wa kishindo watakipa chama gani? Au watabaki bila Serikali?
Wengine wana akili mgando kuwa nchi haiwezi kuendeshwa bila kuwepo na chama chochote cha siasa madarakani...nchi nyingi mapinduzi imefanyika na serikali ikaongozwa vizuri zaidi ya hao political corrupted leaders.

CHAUMA ikiwekwa na wananchi madaraka viongozi wanachaguliwa kutoka miongoni wananchi 60milioni+.

Yaani nchi ina watu zaidi milioni 60 bado wengine wanajiuliza pa kuwapata rasilimali watu.
 
Nimemsikia anasema hakuna wa kuzuia uchaguzi mkuu katika nchi hii. Naona kama anakosea na anapitiliza sasa. Hii nchi siyo mali ya mtu au chama cha siasa.

Pia soma: Pre GE2025 - Mzee Wasira: Hakuna anayeweza kuahirisha uchaguzi mkuu, watanzania wajiandae

Watanzania wakiamua kuzuia uchaguzi mkuu wanaweza na Wasira na chama chake na serikali kwa ujumla hawatakua na la kufanya.

Madaraka yasitulevye mpaka kujisahau na kuwadharau Wananchi.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ccm daima Samia mitano
 
Wengine wana akili mgando kuwa nchi haiwezi kuendeshwa bila kuwepo na chama chochote cha siasa madarakani...nchi nyingi mapinduzi imefanyika na serikali ikaongozwa vizuri zaidi ya hao political corrupted leaders.

CHAUMA ikiwekwa na wananchi madaraka viongozi wanachaguliwa kutoka miongoni wananchi 60milioni+.

Yaani nchi ina watu zaidi milioni 60 bado wengine wanajiuliza pa kuwapata rasilimali watu.
Ishu ni hivyo vyama vimejiimarisha kiasi gani kuendesha Serikali? Marekani kwenye Ugombea Urais kuna zaidi ya watu watano. Na Kuna vyama zaidi ya kumi. Kwanini ni viwili tu ndivyo vinavyobadilishana uongozi wa Serikali?
Mfano, ili Chama kiendeshe Serikali inatakiwa kiwe na wabunge wengi Bungeni. Je, Kuna uwezekano Chadema hii ikawa na wabunge wengi kuliko CCM?
Je, hata uchaguzi ukisimamiwa na Trump, unahisi Lissu anaweza kumshinda kwa kura Mgombea Urais wa CCM hata kama sio Mama Samia? Think big Dogo!
 
Wengine wana akili mgando kuwa nchi haiwezi kuendeshwa bila kuwepo na chama chochote cha siasa madarakani...nchi nyingi mapinduzi imefanyika na serikali ikaongozwa vizuri zaidi ya hao political corrupted leaders.

CHAUMA ikiwekwa na wananchi madaraka viongozi wanachaguliwa kutoka miongoni wananchi 60milioni+.

Yaani nchi ina watu zaidi milioni 60 bado wengine wanajiuliza pa kuwapata rasilimali watu.
Kuhusu overthrowing of the government, hayo ni mawazo ya kipumbavu kabisa kwa mimi kuyajadili.
 
Wananchi hao hao ndio wanaipa CCM ushindi wa kishindo. Kwahiyo akiongea Mzee Wassira maana yake anawaongelea hao wananchi ndio hawataki marekebisho ya Katiba hadi baada ya uchaguzi. Lissu na Chadema hawawakilishi wananchi.
Hakuna mwanannchi ambae anafanya uwo ujinga unaousema tupate usawa kwenye uchaguzi uwone ccm Kama itatamalaki kwenye uso wa dunia hii
 
Wananchi sawa, lakini nyumbu tu hapana haiwezeiani. Bahati nzuri wananchi wako busy wakichangamkia fursa za kiuchumi zilizowekewa mazingira mazuri na mama Samia, The Mother of Modern Tanzania, hivyo hawana muda huo. Kwakuwa wananchi hawana muda huo sababu wanaujua ukweli, basi Wassira yupo sahihi kuwa hilo haliwezekani......labda huko unyumbuni.
 
Wananchi hao hao ndio wanaipa CCM ushindi wa kishindo. Kwahiyo akiongea Mzee Wassira maana yake anawaongelea hao wananchi ndio hawataki marekebisho ya Katiba hadi baada ya uchaguzi. Lissu na Chadema hawawakilishi wananchi.
CCM ikienda kwenye uchaguzi wa Haki kwenye box inashindwa asubuhi sana. Jakaaya Kikwete Rais mstaafu wa JMT..
 
Kama wanaipa CCM ushindi wa kishindo inamaanisha pia wanayo uwezo wa kuinyima ushindi wa kishindo au kuzuia uchaguzi isifanyike vilevile.
Kwanza kura nyingi CCM inashinda kwa wizi na usaidizi wa vyombo vya Dola.
 
Kitu usichojua wewe na viongozi wako vichwa maji ni kwamba uchaguzi uko kwa mujibu wa Sheria na kuvunja Sheria ni kosa!
Pelekeni hoja zenu kwa mujibu wa Sheria, vinginenyo ni vurugu na mtashughulikiwa ipasavyo!
Kama kuvunja sheria ingekua ni kosa CCM isingekua inaiba kura kwenye mabox ili ionekane imepata ushindi. Wapinzani wapo sahihi no reform no election
 
Back
Top Bottom