TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 28,186
- 15,549
Age mate wa trump YuleAdabu gani, wewe unaona afya yake nzuri kweli huyo mzee, kwa sura hiyo angempumzika kazeeka kwa hiyo kazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Age mate wa trump YuleAdabu gani, wewe unaona afya yake nzuri kweli huyo mzee, kwa sura hiyo angempumzika kazeeka kwa hiyo kazi
Acha ufala wewe, nyie mashogq hamna uwezo hata kidogo wa kuzuia uchaguzi.Nimemsikia anasema hakuna wa kuzuia uchaguzi mkuu katika nchi hii. Naona kama anakosea na anapitiliza sasa. Hii nchi siyo mali ya mtu au chama cha siasa.
Pia soma: Pre GE2025 - Mzee Wasira: Hakuna anayeweza kuahirisha uchaguzi mkuu, watanzania wajiandae
Watanzania wakiamua kuzuia uchaguzi mkuu wanaweza na Wasira na chama chake na serikali kwa ujumla hawatakua na la kufanya.
Madaraka yasitulevye mpaka kujisahau na kuwadharau Wananchi.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Wewe ni mpumbavuWananchi hao hao ndio wanaipa CCM ushindi wa kishindo. Kwahiyo akiongea Mzee Wassira maana yake anawaongelea hao wananchi ndio hawataki marekebisho ya Katiba hadi baada ya uchaguzi. Lissu na Chadema hawawakilishi wananchi.
Hii nchi ni mali ya Ccm...Nimemsikia anasema hakuna wa kuzuia uchaguzi mkuu katika nchi hii. Naona kama anakosea na anapitiliza sasa. Hii nchi siyo mali ya mtu au chama cha siasa.
Ahsante ila ujue Lissu ni mhuni tu kwenye suti!Wewe ni mpumbavu
Wengine wana akili mgando kuwa nchi haiwezi kuendeshwa bila kuwepo na chama chochote cha siasa madarakani...nchi nyingi mapinduzi imefanyika na serikali ikaongozwa vizuri zaidi ya hao political corrupted leaders.Kweli kabisa. Ila swali la kujiuliza, wasipoipa CCM ushindi wa kishindo watakipa chama gani? Au watabaki bila Serikali?
Ccm daima Samia mitanoNimemsikia anasema hakuna wa kuzuia uchaguzi mkuu katika nchi hii. Naona kama anakosea na anapitiliza sasa. Hii nchi siyo mali ya mtu au chama cha siasa.
Pia soma: Pre GE2025 - Mzee Wasira: Hakuna anayeweza kuahirisha uchaguzi mkuu, watanzania wajiandae
Watanzania wakiamua kuzuia uchaguzi mkuu wanaweza na Wasira na chama chake na serikali kwa ujumla hawatakua na la kufanya.
Madaraka yasitulevye mpaka kujisahau na kuwadharau Wananchi.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ishu ni hivyo vyama vimejiimarisha kiasi gani kuendesha Serikali? Marekani kwenye Ugombea Urais kuna zaidi ya watu watano. Na Kuna vyama zaidi ya kumi. Kwanini ni viwili tu ndivyo vinavyobadilishana uongozi wa Serikali?Wengine wana akili mgando kuwa nchi haiwezi kuendeshwa bila kuwepo na chama chochote cha siasa madarakani...nchi nyingi mapinduzi imefanyika na serikali ikaongozwa vizuri zaidi ya hao political corrupted leaders.
CHAUMA ikiwekwa na wananchi madaraka viongozi wanachaguliwa kutoka miongoni wananchi 60milioni+.
Yaani nchi ina watu zaidi milioni 60 bado wengine wanajiuliza pa kuwapata rasilimali watu.
Kuhusu overthrowing of the government, hayo ni mawazo ya kipumbavu kabisa kwa mimi kuyajadili.Wengine wana akili mgando kuwa nchi haiwezi kuendeshwa bila kuwepo na chama chochote cha siasa madarakani...nchi nyingi mapinduzi imefanyika na serikali ikaongozwa vizuri zaidi ya hao political corrupted leaders.
CHAUMA ikiwekwa na wananchi madaraka viongozi wanachaguliwa kutoka miongoni wananchi 60milioni+.
Yaani nchi ina watu zaidi milioni 60 bado wengine wanajiuliza pa kuwapata rasilimali watu.
Hakuna mwanannchi ambae anafanya uwo ujinga unaousema tupate usawa kwenye uchaguzi uwone ccm Kama itatamalaki kwenye uso wa dunia hiiWananchi hao hao ndio wanaipa CCM ushindi wa kishindo. Kwahiyo akiongea Mzee Wassira maana yake anawaongelea hao wananchi ndio hawataki marekebisho ya Katiba hadi baada ya uchaguzi. Lissu na Chadema hawawakilishi wananchi.
Ahahahahaha!!Hakuna mwanannchi ambae anafanya uwo ujinga unaousema tupate usawa kwenye uchaguzi uwone ccm Kama itatamalaki kwenye uso wa dunia hii
Walikosea kumpa uongozi mtu ana miaka 80 Bado ana mawazo ya kijima ni kama hajui Dunia imeshasogea na Tanzania ina kizazi ambacho kina elimu.Huyu mzee ni mjinga sn huwa anajiona yeye ndiyo Tanzania
CCM ikienda kwenye uchaguzi wa Haki kwenye box inashindwa asubuhi sana. Jakaaya Kikwete Rais mstaafu wa JMT..Wananchi hao hao ndio wanaipa CCM ushindi wa kishindo. Kwahiyo akiongea Mzee Wassira maana yake anawaongelea hao wananchi ndio hawataki marekebisho ya Katiba hadi baada ya uchaguzi. Lissu na Chadema hawawakilishi wananchi.
SijakuelewaNa we siyo wananchi.
Kwanza kura nyingi CCM inashinda kwa wizi na usaidizi wa vyombo vya Dola.Kama wanaipa CCM ushindi wa kishindo inamaanisha pia wanayo uwezo wa kuinyima ushindi wa kishindo au kuzuia uchaguzi isifanyike vilevile.
Halafu huyo mzee hana jeuri yoyote, yeye anachojua kwakuwa vyombo vya dola vinaweza kuagizwa na mwenyekiti wa ccm, basi anajihisi anaweza kuongea lolote kwani vyombo vya dola vitaagizwa viwalinde.Huyu mzee ni mjinga sn huwa anajiona yeye ndiyo Tanzania
Kama kuvunja sheria ingekua ni kosa CCM isingekua inaiba kura kwenye mabox ili ionekane imepata ushindi. Wapinzani wapo sahihi no reform no electionKitu usichojua wewe na viongozi wako vichwa maji ni kwamba uchaguzi uko kwa mujibu wa Sheria na kuvunja Sheria ni kosa!
Pelekeni hoja zenu kwa mujibu wa Sheria, vinginenyo ni vurugu na mtashughulikiwa ipasavyo!
Siyo kweli.Hii nchi ni mali ya Ccm...
Nampenda Samia anafanya kazi nzuri.Ccm daima Samia mitano