Watanzania wengi ni watu wa maneno mengi katika social media na majukwaa mbalimbali wanasahau Kwamba (Action speak louder than words) 👉acheni maneno mengi humu tuandaeni mazingira tuingie barabarani
Halafu huyo mzee hana jeuri yoyote, yeye anachojua kwakuwa vyombo vya dola vinaweza kuagizwa na mwenyekiti wa ccm, basi anajihisi anaweza kuongea lolote kwani vyombo vya dola vitaagizwa viwalinde.