Hii Tabia ya kujibu Matusi au Lugha za kejeli Mitamdaoni sio nzuri kabisa kwanini watu hua hawafanyi tukiwa ana Kwa ana?

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,224
Reaction score
4,472
Habari!

Naandika hapa huu Uzi Kuomba majibu kutoka kwenu.

Naomba Kila mtu aniambie hii Hali hua ananiona inatokana na Nini?

Na hii Hali ni nzuri kweli?

Najua wengi tushaiona hata wengine kukumbana nayo..Kuna hii tabia mtu unaandika maoni Yako kwenye social media yoyote either X, insta au Facebook au sometimes unaandika Thread Yako nzuri tu kuhusu jambo Flani hapa JF ambapo Hayo yanakua ni mawazo Yako kabisa halaf anatokea mtu from nowhere si unajua pale ni public anakuja anaandika Majibu ya matusi au anakuita Majina ya ajabu Bila kusema why anafanya hivo au Bila kukosoa maoni Yako Kwa kutoa yake.

Hivi hii Hali hua mnaiona ni sawa?

Kama mtu unatetea hii Hali chukulia upo Mtaani umekaaa na watu unaongea kitu kuhusu maybe serikali kua hapa haifanyi sawa au hii Ligi ya Tanzania itaharibiwa Kwa mfumo huu mfano tu lakini.
Halaf mtu akujibu Tusi pale how will you feel?

Najiuliza tu hii Hali ya watu kufanya hivi Kwa social media Ili Hali Kwa Physical hua hawafanyi inatokana na Nini?

Na dawa yake inaweza kua Nini?
 
Wengi ni Afya ya Akili haiko SAWA!
 
Ukiwa content creator /muandishi kwenye mitandao ya kijamii tegemea majibu hasi na chanya.
 
Habari!
Naandika hapa huu Uzi Kuomba majibu kutoka kwenu.

Naomba Kila mtu aniambie hii Hali hua ananiona inatokana na Nini?

Na hii Hali ni nzuri kweli?

Najua wengi tushaiona hata wengine kukumbana nayo..Kuna hii tabia mtu unaandika maoni Yako kwenye social media yoyote either X, insta au Facebook au sometimes unaandika Thread Yako nzuri tu kuhusu jambo Flani hapa JF ambapo Hayo yanakua ni mawazo Yako kabisa halaf anatokea mtu from nowhere si unajua pale ni public anakuja anaandika Majibu ya matusi au anakuita Majina ya ajabu Bila kusema why anafanya hivo au Bila kukosoa maoni Yako Kwa kutoa yake.

Hivi hii Hali hua mnaiona ni sawa?

Kama mtu unatetea hii Hali chukulia upo Mtaani umekaaa na watu unaongea kitu kuhusu maybe serikali kua hapa haifanyi sawa au hii Ligi ya Tanzania itaharibiwa Kwa mfumo huu mfano tu lakini.
Halaf mtu akujibu Tusi pale how will you feel?

Najiuliza tu hii Hali ya watu kufanya hivi Kwa social media Ili Hali Kwa Physical hua hawafanyi inatokana na Nini?

Na dawa yake inaweza kua Nini?
Wanakua wamevurugwa na mambo mengine wanatafuta mahali pa kutolea hasira zao.
Ni kuwapotezea tu!

giphy.gif
 
Watekaji ni wengi kupitia ccm. Mnaogopa ukweli sio mada yako kama inavyosema
 
Kutumia IDs inaleta nguvu ya kujiamini kwasababu;
-hutamjua jina lake.
-hutajua yuko wapi.
-hutamjua anafananaje kama hajaweka picha yake.

Unapoandika jambo tegemea
-25% watalipenda kabla ya kusoma lote.
-25% hawatalipenda hata kama hawajalisoma lote.
-50% watasoma na kutafakari ili wajibu ipasavyo bila bias.

Ukipokea maoni jibu kwa kutumia akili sio hisia, utaishia kula ban na kujidhalilisha.

Ana kwa ana
-unamuona unaweza kumjudge kwa kuangalia emotion zake usoni.
-unaweza kumfanya jambo kama kumuonya kwa vitendo, kumkaripia, au kumdhalilisha.
 
Habari!
Naandika hapa huu Uzi Kuomba majibu kutoka kwenu.

Naomba Kila mtu aniambie hii Hali hua ananiona inatokana na Nini?

Na hii Hali ni nzuri kweli?

Najua wengi tushaiona hata wengine kukumbana nayo..Kuna hii tabia mtu unaandika maoni Yako kwenye social media yoyote either X, insta au Facebook au sometimes unaandika Thread Yako nzuri tu kuhusu jambo Flani hapa JF ambapo Hayo yanakua ni mawazo Yako kabisa halaf anatokea mtu from nowhere si unajua pale ni public anakuja anaandika Majibu ya matusi au anakuita Majina ya ajabu Bila kusema why anafanya hivo au Bila kukosoa maoni Yako Kwa kutoa yake.

Hivi hii Hali hua mnaiona ni sawa?

Kama mtu unatetea hii Hali chukulia upo Mtaani umekaaa na watu unaongea kitu kuhusu maybe serikali kua hapa haifanyi sawa au hii Ligi ya Tanzania itaharibiwa Kwa mfumo huu mfano tu lakini.
Halaf mtu akujibu Tusi pale how will you feel?

Najiuliza tu hii Hali ya watu kufanya hivi Kwa social media Ili Hali Kwa Physical hua hawafanyi inatokana na Nini?

Na dawa yake inaweza kua Nini?
Kimsingi hata mi nilikuwa nataka kuanzisha uzi kama huu toka asubuhi sema nilitingwa mwenzangu ukaupandisha.

Kiukweli hali hii inaumiza sana lakini chanzo kikubwa cha haya ni kuanguka kwa maadili na ugumu wa maisha unaosababisha watu kuwa na stress.

Unaweza weka hata picha yako tu mtu anakuja from nowhere kukuporomoshea matusi.

Inasikitisha sana kwa kweli.
 
Kutumia IDs inaleta nguvu ya kujiamini kwasababu;
-hutamjua jina lake.
-hutajua yuko wapi.
-hutamjua anafananaje kama hajaweka picha yake.

Unapoandika jambo tegemea
-25% watalipenda kabla ya kusoma lote.
-25% hawatalipenda hata kama hawajalisoma lote.
-50% watasoma na kutafakari ili wajibu ipasavyo bila bias.

Ukipokea maoni jibu kwa kutumia akili sio hisia, utaishia kula ban na kujidhalilisha.

Ana kwa ana
-unamuona unaweza kumjudge kwa kuangalia emotion zake usoni.
-unaweza kumfanya jambo kama kumuonya kwa vitendo, kumkaripia, au kumdhalilisha.
Hali hiyo sio JF tu. Kila mahali mtandaoni. Lazima utukanwe Bila sababu. Sijui shida ni nini hasa.
 
Ana kwa ana ili wang'oane meno? Bora hukuhuku mitandaoni ili kuepusha vita vya wenyewe kwa wenyewe 🤣🤣
 
Mike Tyson alisema, "Mtandaoni ndio sehemu pekee unayoweza kumwambia mtu chochote bila kupigwa ngumi ya uso."

Adhana umeisikia mkuu? Ikishafika mida hii aatakayeniita Jose tunagombana, kazini kwangu wananiita Athumani. Hapa jirani wanapika futari tamu sana sijawahi kuona.

Waislamu wote mitano tena.

See you later guys.
 
Kwa kawaida majibu ya mchangiaji huonyesha tabia ya mtu. Maana kwa mtu mstaarabu hakuna haja ya kuandika matusi, kuna kupinga hoja bila kutukana.
 
Mitandaoni watu wanatolea stress tu, mtaani huko watu wamejaa busara zao,,,, !!!! Na mtu utayejibiwa ovyo ama kutukanwa mtandaon ukareact negatively nawe una shida kichwani ! Take it easy
 
Back
Top Bottom