THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Habari!
Naandika hapa huu Uzi Kuomba majibu kutoka kwenu.
Naomba Kila mtu aniambie hii Hali hua ananiona inatokana na Nini?
Na hii Hali ni nzuri kweli?
Najua wengi tushaiona hata wengine kukumbana nayo..Kuna hii tabia mtu unaandika maoni Yako kwenye social media yoyote either X, insta au Facebook au sometimes unaandika Thread Yako nzuri tu kuhusu jambo Flani hapa JF ambapo Hayo yanakua ni mawazo Yako kabisa halaf anatokea mtu from nowhere si unajua pale ni public anakuja anaandika Majibu ya matusi au anakuita Majina ya ajabu Bila kusema why anafanya hivo au Bila kukosoa maoni Yako Kwa kutoa yake.
Hivi hii Hali hua mnaiona ni sawa?
Kama mtu unatetea hii Hali chukulia upo Mtaani umekaaa na watu unaongea kitu kuhusu maybe serikali kua hapa haifanyi sawa au hii Ligi ya Tanzania itaharibiwa Kwa mfumo huu mfano tu lakini.
Halaf mtu akujibu Tusi pale how will you feel?
Najiuliza tu hii Hali ya watu kufanya hivi Kwa social media Ili Hali Kwa Physical hua hawafanyi inatokana na Nini?
Na dawa yake inaweza kua Nini?