Kichangiri
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 331
- 675
Hiyo ni sanaa, nisawa na Joti anavyo vaa wigs... kwani ndio analiwa..🤔Kumekuwa na tabia ya wasanii wa singeli kuimba kauli tata na watu kuchukulia poa.
Mfano unakuta mwanaume anaimba “mume wa mtu sumu ila kwangu mtamu” hivi hii iko sawa kweli?
Kwanini mamiaka husika wasikemee hili?
Umetoka jamii ipi?Nilikuwa nikifikiri jamii nyingine wanajali maadili kama jamii niliyotoka,unashangaa watoto hawana heshima Kwa wazazi wao na wazazi wao hata hawakemei kumbe ndiyo jamii Yao ilivyo. Hata mamlaka za nchi haziwezi kusimamia maadili Kwa sababu nao pia ni miingoni Kwa jamii.
Kweli ndugu. Kuna sehemu unapita unakuta katoto kanafanya kitu unajiuliza hivi ingekuwa kwetu si angekuwa hospital sahivi😁Nilikuwa nikifikiri jamii nyingine wanajali maadili kama jamii niliyotoka,unashangaa watoto hawana heshima Kwa wazazi wao na wazazi wao hata hawakemei kumbe ndiyo jamii Yao ilivyo. Hata mamlaka za nchi haziwezi kusimamia maadili Kwa sababu nao pia ni miingoni Kwa jamii.
Mkuu unataka wakaimbe kwaya?Kumekuwa na tabia ya wasanii wa singeli kuimba kauli tata na watu kuchukulia poa.
Mfano unakuta mwanaume anaimba “mume wa mtu sumu ila kwangu mtamu” hivi hii iko sawa kweli?
Kwanini mamlaka husika wasikemee hili?
Itakuwa jamii forums[emoji38][emoji38]Umetoka jamii ipi?
Sasa wewe unalalamikia hilo? Sie wanyaji tunaikubali sana ile kauli ya Dulla Makabila ya Mchungaji kwenda motoni na mlevi kwenda peponi! Yaani inatupa amani sana tunapokuwa kwa "Mama Muuza"!Kumekuwa na tabia ya wasanii wa singeli kuimba kauli tata na watu kuchukulia poa.
Mfano unakuta mwanaume anaimba “mume wa mtu sumu ila kwangu mtamu” hivi hii iko sawa kweli?
Kwanini mamlaka husika wasikemee hili?
Hiyo haina tabu. Sio sawa na mtoto wa kiume kusifia kuwa mwanaume ni mtamu kwakeSasa wewe unalalamikia hilo? Sie wanyaji tunaikubali sana ile kauli ya Dulla Makabila ya Mchungaji kwenda motoni na mlevi kwenda peponi! Yaani inatupa amani sana tunapokuwa kwa "Mama Muuza"!
sijui alikua na mana gani" nakupenda wewe na huyo bwana wako" Jamani huu si ushoga huu?