sweetlee
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 4,050
- 14,770
Point ya msingi ni alitokea simba na hata rekodi zinasema hivyo ishu ya kulea au kutokumlea siyo Mada hapaDhahiri alitokea matopeni lakini mlimlea kama akina Mkude au alipita tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Point ya msingi ni alitokea simba na hata rekodi zinasema hivyo ishu ya kulea au kutokumlea siyo Mada hapaDhahiri alitokea matopeni lakini mlimlea kama akina Mkude au alipita tu?
Ww simba kitambo tuu, akina herny joseph akina machupa ,wote awmekipiga ulaya na ukisema nje ya nchi bas simba ndio kiboko maana akina kazimoto kina mgosi kina matola wengi wamepata chance kucheza nje.Kwanini useme kizazi huku wakati viongozi wako wanasema simba imekuwa daraja la ULAYA tangu kitambo?
Unakwepa nini sasa!?
Ww ngasa ajawai kusajiliwa nje, huo alienda trial tuu na ikabuma ss nae huyo utamhesab kacheza ulaya??Kama tukiwatoa NGASSA na NIZAR
ambao wameenda na kurudi, kwanini tuwabakishe BOBAN na OKWI?
.....[emoji23][emoji23]
Ww huyo ngasa alienda hko mlipewa sh ngap? Ss samatta kaenda genk tukala percent yetu. Huyo ngasa wako alienda trial akazingua akarud, amekuja bongo simba tunataka tumuuze elmerek mkamdanganya kaishia kufulia tuu.bona Samatta alivyokuwa TP Mazembe mlikuwa mnahesabia mmempeleka ULAYA?
Ushakua sizitak mbichi hz, mada yako inazungumzia simba n daraja na fact n kwamba simba inaruhusu wachezaj wake kwenda nje tofaut na yanga, hyo kucheza msim mmoja or miwil n maamuz yake mwnyw, lakn ilmrad karuhusiwa kutoka bas ndo daraja lenyewe, eb nitajie n mchezaj gan yanga ilmruhusu kwenda nje ata kongo tuu, ukimuondoa canavaro maana nonda alitoroka na ngasa hakucheza huko seatle maana alishindwa trials.Naona umeamua kuwataja Failures na Trialist.
Huwezi ukajicommitt Simba kwa malengo ya kujisifia utapata nafasi ya kucheza nje, then ukacheze nje kwa misimu 2 tu....
Hao wote uliowataja hakuna hata mmoja aliyecheza nje zaidi ya misimu 2.
Mtu baada ya misimu 2 anatemwa, anaona aibu kurudi Bongo anaamua kucheza Ligi araja za chini kabisa huko Ulaya.
Tusijiongopee! wachezaji pekee waliopitia Yanga na SImba na wakawa na succesful career ni NONDA na SAMATTA peke yao...
Hao wengine ni wahuni tu......
Suleyman MatollaUmesema Mpaka sasa! Ngoja tumuongeze na Boban hapo juu ili wawe 3.
Shaba NONDA - Monaco
Nizar KHALFAN - Philadelphia Union (mls)
Mrisho NGASSA - Free state Stars (SPL)
Kpah SHERMAN - Mpumalanga Black Aces( SPL)
Umewasahau kazimoto na mrwanda mkuu.!Suleyman Matolla
Nico Njohole
Patrick Ochan
Emmanuel Okwi
Haruna Moshi
Shekhan Rashid
Athuman Machuppa
Kapombe n.k
Suleyman Matolla
Nico Njohole
Patrick Ochan
Emmanuel Okwi
Haruna Moshi
Shekhan Rashid
Athuman Machuppa
Kapombe n.k
1. Haruna Moshi Boban - Ligi Kuu Sweden
2. Henry Joseph - Ligi Kuu Norway
3. Mbwana Samattha - TP Mazembe kisha Genk Ubelgiji
4. Emeh Ezechukwu - Denmark
5. Emmanuel Okwi - Ligi Kuu Denmark
6 Dan Mrwanda - Kuwait kisha Vietnam
7 Shomari Kapombe - AS Cannes - Ufaransa.
Simba imetoa wachezaji wengi kwenda kwenye majaribio kktk nchi zilizoendelea kisoka kama Misri na Afrika Kusini
.
Hebu soma Uzi kwa mara nyingine tena!Ww huyo ngasa alienda hko mlipewa sh ngap? Ss samatta kaenda genk tukala percent yetu. Huyo ngasa wako alienda trial akazingua akarud, amekuja bongo simba tunataka tumuuze elmerek mkamdanganya kaishia kufulia tuu.
Ww bhana hujielew, kuhus kupitia washkaj wamewataja wachezaj wengii tu apo ambapo wanaweza fika kumi, machupa,matola herny,njohole,okwi,sammata,mrwanda,kazimoto nk na kuhus kuuza simba tumekula ela nyng sanaa kwa samata na okwi.Nyie mlishawah kula hela kubwa ya mchezaj gan??Hebu soma Uzi kwa mara nyingine tena!
Mada unahusu kupitia Klabu, na sio kuuzwa!
Tukianza kujadiri mauzo hakuna mlichofanya kabisa, cha ziada Hans Pope anamalizia mjengo wake pale Iringa Town mkabara na Sheri kwa pesa za Okwi.
Ochan alisajiliwa tp mazembe? Je ngasa alisajiliwa huko marekan??Na kule FreeState Stars alienda kucheza ngoma za kizaramo!
Ndugu zako wamemtaja Ochan humu!
Majibu ya kijinga kabisa! Kusajili wachezaji wa mbao ni kusajili kisayansi? Viongozi wa Simba wana bahati moja kubwa ambayo wenzao wa Yanga hawana, kuwa na mashabiki na wanachama vilaza ni bahati sana... Wanachofanya ni kuwalisha ujinga tu, ni sawa na aina hii ya mashabiki! Huu mwaka pia bila makosa ya mwamuzi wa game ya FA kutoa penati ya kijinga, si ajabu mngeendelea kupiga miayo!Nadhani ungetueleza Kwanza ni kwanini Yanga FC hadi sasa hamjawalipa Wachezaji wenu Mishahara yao ya miezi mitatu ( 3 ) kisha ndipo ungehamia kwa Simba SC kidogo tungekuelewa Mkuu. Ila kila nikiangalia kwa jinsi Simba inavyosajili Kisayansi hivi sasa nina wasiwasi huenda Mzizima Derby au Ilala Derby ijayo ( Simba na Yanga ) rekodi mpya ikawekwa ambapo kuna kila dalili kuwa Yanga FC inaweza kufungwa na Simba SC kati ya Goli 8 au 9. Itunze hii post yangu tafadhali kwani nina uhakika kuwa litatokea.
Kwani Mazembe walimwona kutoka yeboyebo?Kama Simba wanajivunia kwamba Samatta katokea kwao kwenda ulaya, TP Mazembe wao wasemeje? Samatta kachezea Simba si zaidi ya michezo 26 ya ushindani! Kachezea Mazembe zaidi ya michezo 100! Nani anapaswa kujivunia kuuza mchezaji ulaya kati ya Simba na Mazembe? Unauzaje mchezaji ulaya ikiwa miaka mitano hakuna michuano ya kimataifa unayoshiriki? Hivi kweli Simba inajivunia samatta kucheza ulaya kutokea kwao?
Ujinga mwingine haufai!
Nimeshasema ujinga mwingine haufai! Tafakari!Kwani Mazembe walimwona kutoka yeboyebo?
Majibu ya kijinga kabisa! Kusajili wachezaji wa mbao ni kusajili kisayansi? Viongozi wa Simba wana bahati moja kubwa ambayo wenzao wa Yanga hawana, kuwa na mashabiki na wanachama vilaza ni bahati sana... Wanachofanya ni kuwalisha ujinga tu, ni sawa na aina hii ya mashabiki! Huu mwaka pia bila makosa ya mwamuzi wa game ya FA kutoa penati ya kijinga, si ajabu mngeendelea kupiga miayo!
Majibu ya kijinga kabisa! Kusajili wachezaji wa mbao ni kusajili kisayansi? Viongozi wa Simba wana bahati moja kubwa ambayo wenzao wa Yanga hawana, kuwa na mashabiki na wanachama vilaza ni bahati sana... Wanachofanya ni kuwalisha ujinga tu, ni sawa na aina hii ya mashabiki! Huu mwaka pia bila makosa ya mwamuzi wa game ya FA kutoa penati ya kijinga, si ajabu mngeendelea kupiga miayo!
Wangapi wenye nia hiyo na hawakumudu hata hiyo nusu misimu?Naona umeamua kuwataja Failures na Trialist.
Huwezi ukajicommitt Simba kwa malengo ya kujisifia utapata nafasi ya kucheza nje, then ukacheze nje kwa misimu 2 tu....
Hao wote uliowataja hakuna hata mmoja aliyecheza nje zaidi ya misimu 2.
Mtu baada ya misimu 2 anatemwa, anaona aibu kurudi Bongo anaamua kucheza Ligi araja za chini kabisa huko Ulaya.
Tusijiongopee! wachezaji pekee waliopitia Yanga na SImba na wakawa na succesful career ni NONDA na SAMATTA peke yao...
Hao wengine ni wahuni tu......
Haruna pekee ambaye anaweza kusajiliwa mikia kwa wakati huu ni ni haruna lipumba tuNadhani ungetueleza Kwanza ni kwanini Yanga FC hadi sasa hamjawalipa Wachezaji wenu Mishahara yao ya miezi mitatu ( 3 ) kisha ndipo ungehamia kwa Simba SC kidogo tungekuelewa Mkuu. Ila kila nikiangalia kwa jinsi Simba inavyosajili Kisayansi hivi sasa nina wasiwasi huenda Mzizima Derby au Ilala Derby ijayo ( Simba na Yanga ) rekodi mpya ikawekwa ambapo kuna kila dalili kuwa Yanga FC inaweza kufungwa na Simba SC kati ya Goli 8 au 9. Itunze hii post yangu tafadhali kwani nina uhakika kuwa litatokea.