Hii tabia ya Simba kulaghai kwa wachezaji wameanza lini?

Hii tabia ya Simba kulaghai kwa wachezaji wameanza lini?

Dhahiri alitokea matopeni lakini mlimlea kama akina Mkude au alipita tu?
Point ya msingi ni alitokea simba na hata rekodi zinasema hivyo ishu ya kulea au kutokumlea siyo Mada hapa
 
Kwanini useme kizazi huku wakati viongozi wako wanasema simba imekuwa daraja la ULAYA tangu kitambo?

Unakwepa nini sasa!?
Ww simba kitambo tuu, akina herny joseph akina machupa ,wote awmekipiga ulaya na ukisema nje ya nchi bas simba ndio kiboko maana akina kazimoto kina mgosi kina matola wengi wamepata chance kucheza nje.
 
Kama tukiwatoa NGASSA na NIZAR
ambao wameenda na kurudi, kwanini tuwabakishe BOBAN na OKWI?

.....[emoji23][emoji23]
Ww ngasa ajawai kusajiliwa nje, huo alienda trial tuu na ikabuma ss nae huyo utamhesab kacheza ulaya??
 
bona Samatta alivyokuwa TP Mazembe mlikuwa mnahesabia mmempeleka ULAYA?
Ww huyo ngasa alienda hko mlipewa sh ngap? Ss samatta kaenda genk tukala percent yetu. Huyo ngasa wako alienda trial akazingua akarud, amekuja bongo simba tunataka tumuuze elmerek mkamdanganya kaishia kufulia tuu.
 
Naona umeamua kuwataja Failures na Trialist.

Huwezi ukajicommitt Simba kwa malengo ya kujisifia utapata nafasi ya kucheza nje, then ukacheze nje kwa misimu 2 tu....

Hao wote uliowataja hakuna hata mmoja aliyecheza nje zaidi ya misimu 2.

Mtu baada ya misimu 2 anatemwa, anaona aibu kurudi Bongo anaamua kucheza Ligi araja za chini kabisa huko Ulaya.

Tusijiongopee! wachezaji pekee waliopitia Yanga na SImba na wakawa na succesful career ni NONDA na SAMATTA peke yao...

Hao wengine ni wahuni tu......
Ushakua sizitak mbichi hz, mada yako inazungumzia simba n daraja na fact n kwamba simba inaruhusu wachezaj wake kwenda nje tofaut na yanga, hyo kucheza msim mmoja or miwil n maamuz yake mwnyw, lakn ilmrad karuhusiwa kutoka bas ndo daraja lenyewe, eb nitajie n mchezaj gan yanga ilmruhusu kwenda nje ata kongo tuu, ukimuondoa canavaro maana nonda alitoroka na ngasa hakucheza huko seatle maana alishindwa trials.
 
Umesema Mpaka sasa! Ngoja tumuongeze na Boban hapo juu ili wawe 3.

Shaba NONDA - Monaco

Nizar KHALFAN - Philadelphia Union (mls)

Mrisho NGASSA - Free state Stars (SPL)

Kpah SHERMAN - Mpumalanga Black Aces( SPL)

Suleyman Matolla

Nico Njohole

Patrick Ochan

Emmanuel Okwi

Haruna Moshi

Shekhan Rashid

Athuman Machuppa

Kapombe n.k
 
Suleyman Matolla

Nico Njohole
Patrick Ochan
Emmanuel Okwi
Haruna Moshi
Shekhan Rashid
Athuman Machuppa
Kapombe n.k

1. Haruna Moshi Boban - Ligi Kuu Sweden
2. Henry Joseph - Ligi Kuu Norway
3. Mbwana Samattha - TP Mazembe kisha Genk Ubelgiji
4. Emeh Ezechukwu - Denmark
5. Emmanuel Okwi - Ligi Kuu Denmark
6 Dan Mrwanda - Kuwait kisha Vietnam
7 Shomari Kapombe - AS Cannes - Ufaransa.

Simba imetoa wachezaji wengi kwenda kwenye majaribio kktk nchi zilizoendelea kisoka kama Misri na Afrika Kusini

.

Muondoeni huyu Kapombe aliyeenda Long term - Trial pale CAEN.

1. Nizar Klahfan - Philadelphia Union
2. Shaban Nonda - Monaco
3. Nadir Haroub - Whitecaps Sounders
4. Mrisho Ngassa - Seattle Sounder
5. Kpah Sherman - Cyprus PL
6. Andre Countinho - Vietnam PL
 
Ww ngasa ajawai kusajiliwa nje, huo alienda trial tuu na ikabuma ss nae huyo utamhesab kacheza ulaya??
Na kule FreeState Stars alienda kucheza ngoma za kizaramo!

Ndugu zako wamemtaja Ochan humu!
 
Ww huyo ngasa alienda hko mlipewa sh ngap? Ss samatta kaenda genk tukala percent yetu. Huyo ngasa wako alienda trial akazingua akarud, amekuja bongo simba tunataka tumuuze elmerek mkamdanganya kaishia kufulia tuu.
Hebu soma Uzi kwa mara nyingine tena!

Mada unahusu kupitia Klabu, na sio kuuzwa!

Tukianza kujadiri mauzo hakuna mlichofanya kabisa, cha ziada Hans Pope anamalizia mjengo wake pale Iringa Town mkabara na Sheri kwa pesa za Okwi.
 
Ww bhana hujielew, kuhus kupitia washkaj wamewataja wachezaj wengii tu apo ambapo wanaweza fika kumi, machupa,matola herny,njohole,okwi,sammata,mrwanda,kazimoto nk na kuhus kuuza simba tumekula ela nyng sanaa kwa samata na okwi.Nyie mlishawah kula hela kubwa ya mchezaj gan??
 
Nadhani ungetueleza Kwanza ni kwanini Yanga FC hadi sasa hamjawalipa Wachezaji wenu Mishahara yao ya miezi mitatu ( 3 ) kisha ndipo ungehamia kwa Simba SC kidogo tungekuelewa Mkuu. Ila kila nikiangalia kwa jinsi Simba inavyosajili Kisayansi hivi sasa nina wasiwasi huenda Mzizima Derby au Ilala Derby ijayo ( Simba na Yanga ) rekodi mpya ikawekwa ambapo kuna kila dalili kuwa Yanga FC inaweza kufungwa na Simba SC kati ya Goli 8 au 9. Itunze hii post yangu tafadhali kwani nina uhakika kuwa litatokea.
Majibu ya kijinga kabisa! Kusajili wachezaji wa mbao ni kusajili kisayansi? Viongozi wa Simba wana bahati moja kubwa ambayo wenzao wa Yanga hawana, kuwa na mashabiki na wanachama vilaza ni bahati sana... Wanachofanya ni kuwalisha ujinga tu, ni sawa na aina hii ya mashabiki! Huu mwaka pia bila makosa ya mwamuzi wa game ya FA kutoa penati ya kijinga, si ajabu mngeendelea kupiga miayo!
 
Kama Simba wanajivunia kwamba Samatta katokea kwao kwenda ulaya, TP Mazembe wao wasemeje? Samatta kachezea Simba si zaidi ya michezo 26 ya ushindani! Kachezea Mazembe zaidi ya michezo 100! Nani anapaswa kujivunia kuuza mchezaji ulaya kati ya Simba na Mazembe? Unauzaje mchezaji ulaya ikiwa miaka mitano hakuna michuano ya kimataifa unayoshiriki? Hivi kweli Simba inajivunia samatta kucheza ulaya kutokea kwao?
Ujinga mwingine haufai!
 
Kwani Mazembe walimwona kutoka yeboyebo?
 
Majibu ya kijinga kabisa! Kusajili wachezaji wa mbao ni kusajili kisayansi? Viongozi wa Simba wana bahati moja kubwa ambayo wenzao wa Yanga hawana, kuwa na mashabiki na wanachama vilaza ni bahati sana... Wanachofanya ni kuwalisha ujinga tu, ni sawa na aina hii ya mashabiki! Huu mwaka pia bila makosa ya mwamuzi wa game ya FA kutoa penati ya kijinga, si ajabu mngeendelea kupiga miayo!

Mtu wa mpira kweli huwa hawi na Stupid and blanketed remarks kama hizi zako. Tunaoujua mpira hasa huu wa Bongo hadi sasa tunaona ni Simba SC tu pekee ndiyo inasajili Kisayansi na leo naongezea Kiufundi zaidi. Ni kama vile ambavyo tulimsajili Ramadhani Kessy kutoka Mtibwa FC mwaka juzi na Yanga FC mkawa mnamdhihaki lakini alipocheza vizuri tu msimu wake ule mmoja na Simba SC mkamtamani, mkamrubuni na hatimaye kumchukua japo hata hivyo huko Yanga FC Kwenu hachezi kama vile alivyokuwa akicheza alipokuwa Kwetu Simba SC.

Nakushauri sana jifunze sana kufanya Sports arguments na Mimi kisha ukishaona umeweza rudi ila hii post yako tu naomba uniruhusu nikuiite Wewe ni Mpumbavu wa Kutukuka kabisa wa masuala ya Michezo. Mwisho nakupa tu assignment ndogo sana mtafute Kocha yoyote au Mtalaam yoyote ya mpira muulizie kuhusu hao Wachezaji wa Mbao FC waliosajiliwa na Simba SC kisha atakuambia uzuri na ubora wao.

Siku zote Simba SC haijawahi Kusajili hovyo na ndiyo maana kila mara Yanga FC ama wanavizia na kupeleleza Simba SC wanasajili nani au wapi ili wawawahi au wanawavizia Wachezaji wazuri wa Simba SC kisha wanawarubuni kama mlivyofanya sasa kwa Ibrahim Ajib ambaye najua na nina uhakika kabisa kumbukumbu huna ila kuanzia Kocha wenu msaidizi Mwambusi, Nahodha wenu Nadir Haroub na hata Mzee wenu Akilimali huko nyuma mara kadhaa walishawahi kunukuliwa na Vyombo vya Habari wakisema kuwa Ajib hajui mpira na hata Yanga FC hawezi kupata namba kwani ni mchezaji anayecheza na Jukwaa na anachelewesha mashambulizi cha ajabu na kichekesho leo tena huyo huyo ndiyo mnahangaika Kumrubuni kwa Tsh Milioni 50 na Gari aina Ya Brevis.

Mkiambiwa kuwa Yanga ni Matahaira msiwe mnakataa!
 
Majibu ya kijinga kabisa! Kusajili wachezaji wa mbao ni kusajili kisayansi? Viongozi wa Simba wana bahati moja kubwa ambayo wenzao wa Yanga hawana, kuwa na mashabiki na wanachama vilaza ni bahati sana... Wanachofanya ni kuwalisha ujinga tu, ni sawa na aina hii ya mashabiki! Huu mwaka pia bila makosa ya mwamuzi wa game ya FA kutoa penati ya kijinga, si ajabu mngeendelea kupiga miayo!

Kuhusu Mashabiki wa simba hapo nakupa heko...
Unanikumbusha Takwimu za Twaweza kuhusu population inayosupport Chama Tawala.....

Huyu MTU aliyekuambia kuwa Simba inasajili kisayansi alikuwa anauponda usajili wa Mavugo, Blagnon......last tyme
....
 
Naona umeamua kuwataja Failures na Trialist.

Huwezi ukajicommitt Simba kwa malengo ya kujisifia utapata nafasi ya kucheza nje, then ukacheze nje kwa misimu 2 tu....

Hao wote uliowataja hakuna hata mmoja aliyecheza nje zaidi ya misimu 2.

Mtu baada ya misimu 2 anatemwa, anaona aibu kurudi Bongo anaamua kucheza Ligi araja za chini kabisa huko Ulaya.

Tusijiongopee! wachezaji pekee waliopitia Yanga na SImba na wakawa na succesful career ni NONDA na SAMATTA peke yao...

Hao wengine ni wahuni tu......
Wangapi wenye nia hiyo na hawakumudu hata hiyo nusu misimu?
Tatizo ni ushabiki uliopitiliza. Kama hao walitoka na hawakurudi,wajuaje kama hawakuwa chachu ya waliofuatia kufanya vizuri zaidi?
Mimi nimetaja "failures" sawa,nipe wako waliofanikiwa kutokea jangwani waliodumu misimu 3.
 
Nadhani ungetueleza Kwanza ni kwanini Yanga FC hadi sasa hamjawalipa Wachezaji wenu Mishahara yao ya miezi mitatu ( 3 ) kisha ndipo ungehamia kwa Simba SC kidogo tungekuelewa Mkuu. Ila kila nikiangalia kwa jinsi Simba inavyosajili Kisayansi hivi sasa nina wasiwasi huenda Mzizima Derby au Ilala Derby ijayo ( Simba na Yanga ) rekodi mpya ikawekwa ambapo kuna kila dalili kuwa Yanga FC inaweza kufungwa na Simba SC kati ya Goli 8 au 9. Itunze hii post yangu tafadhali kwani nina uhakika kuwa litatokea.
Haruna pekee ambaye anaweza kusajiliwa mikia kwa wakati huu ni ni haruna lipumba tu
 
Back
Top Bottom