Hii tabia ya wanawake kupiga picha za design hii ni fashion au?

kajojo

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2012
Posts
2,946
Reaction score
5,470
Kumekua na tabia ya wamama wengi wanaokaribia kujifungua kupiga picha za nusu utupu zikionyesha ukubwa wa tumbo /mimba.

Hii trend ya picha hizi niwahi kuziona mara ya kwanza kwa mastaa wa nje wakipiga na kuziweka mtandaoni, nikajua labda ndo utamaduni wao.

Sasa naona hii kitu imeanza kushika kasi kwenye jamii yetu, sasa sijui ndo kukua kwa utandawazi au ni moja ya desturi tuliyo amua ku adapt ilikwendana na wakati ama ni vipi

Labda mnieleweshe, hii tabia ya kupiga picha za mtindo huu ni sawa ama nyie mnaionaje?

View attachment 461021
===========

Tazama mjadala wa hoja hii ukisomwa ktk Jamii Leo
 
Ushetani tu na awendawazimu wa kisasa amini hivyo mamento fresh wapo wengi sema wanatofautiana viwango amini hivyo
 
ni upuuzi na ulimbukeni wa hali ya juu!
mimba zina mila na desturi zake...
hata haya ma-baby shower kwa baadhi ya kabila mwiko!

Ila acha tu tuendelee kuzaa akina jems delicious maana hatuelezeki.
sisi na ulimbukeni ulimbukeni na sisi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…