Hii tabia ya wanawake kupiga picha za design hii ni fashion au?

Ulimbukeni tu.Utafikiri wao ndo wakwanza kubeba mimba tangu kuumbwa ulimwengu.
Kuiga tamaduni za watu,japo nyingi tunaiga ila hii kwangu no.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanataka kuonesha ni kiasi gani walifanya ngono isiyokua salama.

Kukaa uchi sio ufahari, kuonyesha tumbo nje ni ku-proove ni kiasi gani wewe ni mahiri wa ngono zembe.

Unajipiga mipicha ya uchi na limimba ilihali hujaolewa? Wewe ni mzinzi kama wazinzi wengine tu

nothing is easier than blaming others for your own problems
 
Huko tunakoelekea , ujauzito litakua ni tukio la kitalii. Wanaume wanaoana wanawake pia. Ujuauzito itakua ni muujiza.
 
Kuwaonesha kua walipigwa chini wakajaa juu.... lol

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Ndio maana uzazi wa siku hizi umekua na complications nyingi.... zamani mwanamke mjamzito alikua anajifunika funika mpk siku ya mwisho sasa hivi ndio hivyo mitumbo wazi na inatisha jamani usiombeee awe na mapacha uwiiiii so scary. lol

inasikitisha sana complications lazima ziwepo unakuta mtu ana mimba kubwa sana tu lakini anakata ulabu kama kaambiwa kesho ulabu marufuku,mbaya zaidi wengi wanagegedwa na watu tofautitofauti bila kujali kiumbe kilichopo tumboni hali hii ipo sana uswahilini.
 
wengine wanaenda club na kucheza mziki mpk mimba ya miezi 9 daaaah hiyo nashuhudia sana madai yao hawataki kupitwa na ujana.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Wanaonesha baba zao na mama zao kuwa wamet.ombwa wakakojolewa shahawa zikatuama na kutungisha mimba
 
Back
Top Bottom