Hii tabia ya wanawake kupiga picha za design hii ni fashion au?

Hii tabia ya wanawake kupiga picha za design hii ni fashion au?

Kweli aisee ni changamoto sana...unakuta mzazi hawezi kumkanya mtoto wake hata kwa kosa ambalo linajulikana,, anamdekeza
yaani mkuu mostly ya wazazi wa digital malezi yao ni hovyo, kuanzia ujauzito n mdogo had mtoto anazaliwa yan shida
 
Kupania kupita kiasi..yaani na umagharibi nao umetulevya! ilaaniwe insta maana ndo kichohezi kikuu.
 
Mie nasema kwa sauti kubwa: ni upuuzi, na sio kuonesha tu matumbo, mie huwa nakosa raha ninapoona mwanadada anakwambia, "Jumatano nitapata baby girl"
Kwa maana ameshakwenda kwenye ultrasound ameona ana mtoto wa jinsi ipi, halafu ana appointment ya kwenda kufanyiwa upasuaji tena hana tatizo lolote lakini hataki kuzaa kwa kukema/kusukuma
mfyuuuuuuuuuuuu
[emoji106]

-Ndumilakuwili-
 
Maisha ya ku copy na paste..umagharibi usioendana na context (ingawa wa haki za binadamu mtasema ni uhuru wao)..

Simply ni reflection ya highest level of stupidity !

[HASHTAG]#Mtazamo[/HASHTAG]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumeibuka wimbi la wadada wajawazito kupiga picha huku wameshikilia matumbo yao na kisha kuzitupia kwenye mitandao ya kijamii.

4907d52c8219aff40382b8fb29993640.jpg


Huwa malengo yake hasa ni yapi?
Huenda nimepitwa na wakati, napaswa kuji-update.

Mapendo,
TANMO.
ni ulimbukeni tu kuigaiga kila kitu waonekane class flani,tabia hii ya kupiga picha nusu uchi na mtumbo mkubwa wa mimba kaianzisha beyonce knowles haya mazombie ya huku bongo ni full kuiga,kumbuka miaka ya nyuma kidogo mimba zilionekana michosho sana ilikua nadra sana kukuta msanii wa bongo yupo kwenye 'spotlight' ana mtumbo mkubwa walikua wanatoa sana mimba.
 
Mie nasema kwa sauti kubwa: ni upuuzi, na sio kuonesha tu matumbo, mie huwa nakosa raha ninapoona mwanadada anakwambia, "Jumatano nitapata baby girl"
Kwa maana ameshakwenda kwenye ultrasound ameona ana mtoto wa jinsi ipi, halafu ana appointment ya kwenda kufanyiwa upasuaji tena hana tatizo lolote lakini hataki kuzaa kwa kukema/kusukuma
mfyuuuuuuuuuuuu
mkuu wewe ni me au ke? kama ni me nakushauri usipende kabisa kutumia hayo maneno mawili katika post yako na la kwanza na la mwisho.
 
Yani umenifanya hadi nibadilike ghafla. Unakutana na toto lisumbufu, sifa nyingi, maneno kibao na mabaya sometimes kwa mgeni ambaye hata hajawahi kumuona alafu wazazi wanamchekea tu. Utasikia yani huyu mtoto ni mtundu mara oooh acha kumsumbua anko.....yan huwa natamani nimpe kibao kimoja akalale zake huko.
ha ha ha ha ha ha ah autakuta motto anakwambia mgeni kum.....yo... mama yake anacheka yaani huyu mtoto anasumbuaa kweli ....natamani hata nimfinye mdomo...
 
Back
Top Bottom