Hii tabia ya wanawake kupiga picha za design hii ni fashion au?

Hii tabia ya wanawake kupiga picha za design hii ni fashion au?

images
images
images
 
Na hizi ni athari za kuiga tamaduni za wenzetu
Nakumbuka zamani Mwanamke akiwa Mjamzito anavaa nguo za kumstiri na zaidi anajifunika mtandio au khanga juu
Ila siku hizi Mimba zimekuwa kama fashion
Mtu anapiga picha tumbo lipo wazi, Vinguo vifupi, vinabana tumbo hawajali na wanaona kawaida kabisa
 
Kumeibuka wimbi la wadada wajawazito kupiga picha huku wameshikilia matumbo yao na kisha kuzitupia kwenye mitandao ya kijamii.

4907d52c8219aff40382b8fb29993640.jpg

Huwa malengo yake hasa ni yapi?
Huenda nimepitwa na wakati, napaswa kuji-update.

Mapendo,
TANMO.

Lengo lao kubwa ni kutaka tufahamu kuwa sehemu ndogo yenye ' Kajiduara ' au ' Tobo ' imeweza kutengeneza ' Tumbo ' kubwa lililotuna kama inavyoonekana hapo pichani.
 
Kumeibuka wimbi la wadada wajawazito kupiga picha huku wameshikilia matumbo yao na kisha kuzitupia kwenye mitandao ya kijamii.

4907d52c8219aff40382b8fb29993640.jpg

Huwa malengo yake hasa ni yapi?
Huenda nimepitwa na wakati, napaswa kuji-update.

Mapendo,
TANMO.
Wanajivunia kut***bwa!
 
Back
Top Bottom