Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa wanawake wa kidijitali ni shidamkuu labda wataweza kujirekebisha lakini sidhani
hata uleaji ni shida sana watoto wengi wa kizazi hiki hawana adabuHawa wanawake wa kidijitali ni shida
Sasa jamani kukaa uchi ni sifa tena...?Mimi nahisi hii kitu kiroho haiko sawasawa,unapiga picha kama hizi,badala ya kuishia kuonekana na aliyekupa hiyo mimba ambaye ameshazoea kukuona ukiwa huna nguo,unazitupa hizo picha kwenye mitandao ya kijamii ili kila mtu akuone mwili wako bila ya nguo.Halafu huyo mtoto siku moja akikua naye akaanza kupekuwa mitandaoni akikuona ukiwa na hiyo hali unategemea nini hapo!!sifa tu na anataka kusifiwa
Uko sahihi kabisa madame aisee, utandawazi umewaharibu sanahata uleaji ni shida sana watoto wengi wa kizazi hiki hawana adabu
umeona eh!! yaan mababu wa kizazi cha digital watakua hawana wanalojua zaidi ya kurecover password na kuhack accounts Mungu atufanyie wepesi na vizazi vyetu, atupe vizazi vilivyo vyemaUko sahihi kabisa madame aisee, utandawazi umewaharibu sana
Yani umenifanya hadi nibadilike ghafla. Unakutana na toto lisumbufu, sifa nyingi, maneno kibao na mabaya sometimes kwa mgeni ambaye hata hajawahi kumuona alafu wazazi wanamchekea tu. Utasikia yani huyu mtoto ni mtundu mara oooh acha kumsumbua anko.....yan huwa natamani nimpe kibao kimoja akalale zake huko.hata uleaji ni shida sana watoto wengi wa kizazi hiki hawana adabu
mkuu wanakosea mi sifanyi hivyoSasa jamani kukaa uchi ni sifa tena...?Mimi nahisi hii kitu kiroho haiko sawasawa,unapiga picha kama hizi,badala ya kuishia kuonekana na aliyekupa hiyo mimba ambaye ameshazoea kukuona ukiwa huna nguo,unazitupa hizo picha kwenye mitandao ya kijamii ili kila mtu akuone mwili wako bila ya nguo.Halafu huyo mtoto siku moja akikua naye akaanza kupekuwa mitandaoni akikuona ukiwa na hiyo hali unategemea nini hapo!!
Na muda mwingine wazazi wanachangia kwa kweli, kitu ambacho sio vizuriumeona eh!! yaan mababu wa kizazi cha digital watakua hawana wanalojua zaidi ya kurecover password na kuhack accounts Mungu atufanyie wepesi na vizazi vyetu, atupe vizazi vilivyo vyema
Kutiana nyegeKumeibuka wimbi la wadada wajawazito kupiga picha huku wameshikilia matumbo yao na kisha kuzitupia kwenye mitandao ya kijamii.
![]()
Huwa malengo yake hasa ni yapi?
Huenda nimepitwa na wakati, napaswa kuji-update.
Mapendo,
TANMO.
Yani umenifanya hadi nibadilike ghafla. Unakutana na toto lisumbufu, sifa nyingi, maneno kibao na mabaya sometimes kwa mgeni ambaye hata hajawahi kumuona alafu wazazi wanamchekea tu. Utasikia yani huyu mtoto ni mtundu mara oooh acha kumsumbua anko.....yan huwa natamani nimpe kibao kimoja akalale zake huko.
Na muda mwingine wazazi wanachangia kwa kweli, kitu ambacho sio vizuri
Na muda mwingine wazazi wanachangia kwa kweli, kitu ambacho sio vizuri
Daah yani discipline ni kitu cha muhimu sana kwa watoto hasa wanapokuwa bado wadogo.unakuta mtoto zile adabu za kumjua huyu mkubwa nimpe heshima hamna sometimes mmekaa labda mnapiga piga story mtoto anadakia mazungumzo tabia ya ajabu sana hii ukute mtoto amechapwa shule mama yake atakavyokwenda na maneno mapya utayasikia siku hiyo
Kweli aisee ni changamoto sana...unakuta mzazi hawezi kumkanya mtoto wake hata kwa kosa ambalo linajulikana,, anamdekezaukute mwanae amecheza nje akapigwa badala ya kuwamulia mtoto anamwambia mama yake ukipigwa siku nyingine na wewe mpige usikubali
au ugomvi wa watoto kuhamishiwa kwa wazazi ajabu hii