Kumekua na tabia ya wamama wengi wanaokaribia kujifungua kupiga picha za nusu utupu zikionyesha ukubwa wa tumbo /mimba.
Hii trend ya picha hizi niwahi kuziona mara ya kwanza kwa mastaa wa nje wakipiga na kuziweka mtandaoni, nikajua labda ndo utamaduni wao.
Sasa naona hii kitu imeanza kushika kasi kwenye jamii yetu, sasa sijui ndo kukua kwa utandawazi au ni moja ya desturi tuliyo amua ku adapt ilikwendana na wakati ama ni vipi
Labda mnieleweshe, hii tabia ya kupiga picha za mtindo huu ni sawa ama nyie mnaionaje.
View attachment 461020View attachment 461021View attachment 461022View attachment 461023View attachment 461024View attachment 461025 View attachment 461018View attachment 461019