Hii tabia ya wanawake kupiga picha za design hii ni fashion au?

Hii tabia ya wanawake kupiga picha za design hii ni fashion au?

Chura katokeza mbele waluwalu.[emoji39]


Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kwa tatizo lipo wapi hapo..!??
Kawaida na wako sawa wanajivunia walichonacho coz tangu zamani tulikuwa tunakaa uchi.
 
Siku hizi huko Marekani na mambele wanaume wanakula makondo ya wake zao,sijui bongo wataiga
 
Ila tuacheni maskhara yule kifesi alimfaidi sana mtoto zari yale mapicha picha yake
 
Kumekua na tabia ya wamama wengi wanaokaribia kujifungua kupiga picha za nusu utupu zikionyesha ukubwa wa tumbo /mimba.
Hii trend ya picha hizi niwahi kuziona mara ya kwanza kwa mastaa wa nje wakipiga na kuziweka mtandaoni, nikajua labda ndo utamaduni wao.

Sasa naona hii kitu imeanza kushika kasi kwenye jamii yetu, sasa sijui ndo kukua kwa utandawazi au ni moja ya desturi tuliyo amua ku adapt ilikwendana na wakati ama ni vipi

Labda mnieleweshe, hii tabia ya kupiga picha za mtindo huu ni sawa ama nyie mnaionaje.
View attachment 461020View attachment 461021View attachment 461022View attachment 461023View attachment 461024View attachment 461025 View attachment 461018View attachment 461019
tunakulaga tuu sisi
 
Back
Top Bottom