amshapopo
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 2,533
- 5,837
Kumekuwa na kasumba iliyoibuka hivi karibuni ya mabinti kupenda mwanamme aliyeoa na hata kudiriki kumtegeshea mimba ili aolewe mke mwenza.
Nina Brother yangu toka nitoke alipata kazi Shinyanga kama mhasibu wa halmashauri then akapata mke wakaoana. Baadaye akaamishishiwa Tanga, hakukaa hata mwaka tunashangaa namba ngeni inatupigia, kuulza ni nani anatuambia mimi ni mke mdogo wa kaka yenu! Nilichoka kwa kweli.
Kumuuliza Brother anasema huyu binti nilimtamani tu ila akanitegeshea mimba hivyo sina jinsi😂😂😂 Pia kuna jamaa yangu alipata kazi ya ualimu Dar. Aliacha familia huku Dodoma ili akamilishe mambo yake huko Dar then familia imfuate.
Mke amekaa akaona kimya…..uzuri amewahi kwenda kumtembelea kwa kipindi flani so alivyoona kimya akaamua kwenda bila taarifa. Kufika anamkuta binti mjamzito na anajitambulisha me mke mwenzio 😂😂😂😂 Jamani nini kimetokea sikuhizi?
Hii tabia imeenda mbali kana kwamba uki-date na binti na akakupenda, hata umwambie me mme wa mtu anaishia kusema “unavyoniona mkeo amenizidi nini labda”