MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,232
- 152,252
Yaani😂,kama nakuona huyo mtoto sijui ingekuwaje😂Bahati yangu
Yaani😂,kama nakuona huyo mtoto sijui ingekuwaje😂Bahati yangu
Oooh AsanteAnakuwa na future pia,na visivyoelezeka.
Kuna mtifuano mkali sana pamoja na ku admin makosa Kila muda anakumbushiaUzuri mkeo ndo muda wake huu wa kwenda kuonja ladha mpya kwa crush wake, wanaume walokuzidi kila kitu alokua anawakataa kwa kulinda heshima yako.
Usinihadithie story yako ya upuuzi.Kuna mtifuano mkali sana pamoja na ku admin makosa Kila muda anakumbushia
Tatizo lake anapenda kufwatilia simu sana sanaa
Ni kipaji Maalum yaani atasoma Kila kitu Mimi simu siweki password aisee namkataza wapii
It's my first time kuchepuka tena nilimuonea HURUMA kwa ajili ya watoto wetu wadogo nikasema ngoja ni date na huyu kumpumzisha wife
Sasa akafuma ma charting za hatare.. conversation za hatare mpaka kupigiana simu
Yule babe mpya akamwambia mwanaume hachungwi ivoo hata akiachana na Mimi ata PATA mwingine.. zungumza ma mumeo wakatukanana kinoma
Hapo nimekupata mamEe mwanaume unaweza ukawa na pesa na usiwe na future ya maisha,zaidi ya kula bata na watoto wazuri.
Wanaume ni tamaa tu. Ila huyo mwanamke kama anafikiri best revenge ni kuwa jamvi la wageni, wahuni wataichapa sana na watamgeuza kila style na kumaliza fantasies zao ila hakuna atakayekuwa na commitment na mke wa mtu tena mwenye watoto.Uzuri mkeo ndo muda wake huu wa kwenda kuonja ladha mpya kwa crush wake, wanaume walokuzidi kila kitu alokua anawakataa kwa kulinda heshima yako.
Daah,hii ni kujipa presha tu,mie ningemuita huyo demu pahala tuonane tuzungumze vizuri,Kuna mtifuano mkali sana pamoja na ku admin makosa Kila muda anakumbushia
Tatizo lake anapenda kufwatilia simu sana sanaa
Ni kipaji Maalum yaani atasoma Kila kitu Mimi simu siweki password aisee namkataza wapii
It's my first time kuchepuka tena nilimuonea HURUMA kwa ajili ya watoto wetu wadogo nikasema ngoja ni date na huyu kumpumzisha wife
Sasa akafuma ma charting za hatare.. conversation za hatare mpaka kupigiana simu
Yule babe mpya akamwambia mwanaume hachungwi ivoo hata akiachana na Mimi ata PATA mwingine.. zungumza ma mumeo wakatukanana kinoma
Sio wanawake wote wenye hizo tabiaKumekuwa na kasumba iliyoibuka hivi karibuni ya mabinti kupenda mwanamme aliyeoa na hata kudiriki kumtegeshea mimba ili aolewe mke mwenza.
Nina Brother yangu toka nitoke alipata kazi Shinyanga kama mhasibu wa halmashauri then akapata mke wakaoana. Baadaye akaamishishiwa Tanga, hakukaa hata mwaka tunashangaa namba ngeni inatupigia, kuulza ni nani anatuambia mimi ni mke mdogo wa kaka yenu! Nilichoka kwa kweli.
Kumuuliza Brother anasema huyu binti nilimtamani tu ila akanitegeshea mimba hivyo sina jinsi😂😂😂 Pia kuna jamaa yangu alipata kazi ya ualimu Dar. Aliacha familia huku Dodoma ili akamilishe mambo yake huko Dar then familia imfuate.
Mke amekaa akaona kimya…..uzuri amewahi kwenda kumtembelea kwa kipindi flani so alivyoona kimya akaamua kwenda bila taarifa. Kufika anamkuta binti mjamzito na anajitambulisha me mke mwenzio 😂😂😂😂 Jamani nini kimetokea sikuhizi?
Mnazungumza niniDaah,hii ni kujipa presha tu,mie ningemuita huyo demu pahala tuonane tuzungumze vizuri,
Natembea na wanaume 10 nilioridhia, ninaowatamani, tumefanya nimeinjoy nimesikia raha.Wanaume ni tamaa tu. Ila huyo mwanamke kama anafikiri best revenge ni kuwa jamvi la wageni, wahuni wataichapa sana na watamgeuza kila style na kumaliza fantasies zao ila hakuna atakayekuwa na commitment na mke wa mtu tena mwenye watoto.
The best revenge ni kuomba tu talaka kama ameshindwa kusamehe. Ajitulize atafute mume mwingine perfect ambaye hana tamaa ambaye yupo tayari kulea watoto wa mwanaume mwingine.
Suala la uzinzi baiolijia na jamii inamuhukumu zaidi mwanamke. Hata mkijifanya wabishi amuwezi kufanya mwanaume na mwanamke wahukumiwe sawa hapo.Kama kawaida, uzinzi wamefanya wote lawama anapewa mwanamke🙆♂️🙆♂️
Kwaioo Mimi ni mpuuziiUsinihadithie story yako ya upuuzi.
Umeona wapi mwanamke anaolewa na wanaume wawili au zaidi? Equality isn't a way of life.Natembea na wanaume 10 nilioridhia, ninaowatamani, tumefanya nimeinjoy nimesikia raha.
Kivipi nakua jamvi la wageni?
Ndio! Unamcheat mwanamke kisa analea watoto wadogo ambao kawabeba miezi 9 tumboni, karisk maisha yake ili wewe uitwe baba.Kwaioo Mimi ni mpuuzii
Hujajibu swali langu.Umeona wapi mwanamke anaolewa na wanaume wawili au zaidi? Equality isn't a way of life.
Usishindane na Mwanaume maana hatuongozwi na hisia.
Yaweza kuwa heshima, adabu, utii , utamu wa papuchi na kadhalikaNa vipi kama Mwanaume nae akimganda Mwanamke,
Yeye anakua kaona nini?
Kwenye suala la sex wanawake mna changamoto na vijisababu sababu vingi sana. Especially mkishajiakikishia jimbo. Unajua kwa mwanamke sex sio starehe tu, pia ni method of controlling, negotiating and punishing. Hio ndio inapekea baadhi ya wanaume kufuata huduma nje.Mwanaume mwenye ndoa ambae ndio anapaswa kuwa makini maana ana kiapo cha kulinda, anazini tena peku na kutia mimba juu ila hilo halionekani kama ni tatizo imagine!!
Mtajua hamjui 😂Kama kawaida, uzinzi wamefanya wote lawama anapewa mwanamke🙆♂️🙆♂️
Kumtia adabu mbele ya huyo bwana.Mnazungumza nini