Mchepuko hawez kukuzalia kama huna pesa
Uzi ufungwe.
Mchepuko hawez kukuzalia kama huna pesa
Tulia kikurambe mwenetu.Binafsi Kuna mmoja pia accidentally tume date,
Wife kajua maana Mimi wife ni mwalimu huyu Dada wa watu ana biashara zake.
Mdada Hana wivu anamuheshimu wife hakuna simu za usiku dada ila wife baada ya kujua
Now ndoa tumekua kama ukanda wa Gaza mara wanaume mbwa mara wanaume nyau nyau nyau ILA MIMI NILI BAHATIKA KUPATA MKE MWEMA ILA NOW NIMEJICHANGANYA SIAMINIKI NAONEKANA MUHUNI
MIMI NI VERY GENTLEMAN ILA SASA YAMENIKUTA
Sioni sababu ya kutumia nguvu kwa mume na mchepuko.Kumtia adabu mbele ya huyo bwana.
Mwl Tu wanatamani hata kama Kipato chake kidogo lakini maisha yanakwenda, Sisi Mainjinia ndio balaa, mtu unamwambia kabisa Nina wake wawili na bado anasema " Hesabu Mimi wa Tatu" na wala hataniiKumuuliza Brother anasema huyu binti nilimtamani tu ila akanitegeshea mimba hivyo sina jinsi😂😂😂 Pia kuna jamaa yangu alipata kazi ya ualimu Dar. Aliacha familia huku Dodoma ili akamilishe mambo yake huko Dar then familia imfuate.
Njaa.Kumekuwa na kasumba iliyoibuka hivi karibuni ya mabinti kupenda mwanamme aliyeoa na hata kudiriki kumtegeshea mimba ili aolewe mke mwenza.
Nina Brother yangu toka nitoke alipata kazi Shinyanga kama mhasibu wa halmashauri then akapata mke wakaoana. Baadaye akaamishishiwa Tanga, hakukaa hata mwaka tunashangaa namba ngeni inatupigia, kuulza ni nani anatuambia mimi ni mke mdogo wa kaka yenu! Nilichoka kwa kweli.
Kumuuliza Brother anasema huyu binti nilimtamani tu ila akanitegeshea mimba hivyo sina jinsi😂😂😂 Pia kuna jamaa yangu alipata kazi ya ualimu Dar. Aliacha familia huku Dodoma ili akamilishe mambo yake huko Dar then familia imfuate.
Mke amekaa akaona kimya…..uzuri amewahi kwenda kumtembelea kwa kipindi flani so alivyoona kimya akaamua kwenda bila taarifa. Kufika anamkuta binti mjamzito na anajitambulisha me mke mwenzio 😂😂😂😂 Jamani nini kimetokea sikuhizi?
Unajua suala sio kusamehe kucheat suala ni mfumo wankuendesha mahusiano ambao tayari sisi waafrika tumeshausimika. Kuanzia mwanzo wa mahusiano mwanaume anabebeshwa maintenance costs zote. Hii inatengeneza mtazamo kwamba mwanaume ni mmiliki. As you know, the one with financial power have leverage in relationship. Ndio hapo inaonekana mwanaume akicheat ni sawa, ila mwanamke akicheat amani lazima itoweke.Wanawake hua hawasahau,
Ukisha mcheat tu,hata kama atakwambia kua amekusamehe,hiyo sio kweli,
Tena wengine ukicheat ndio unakua umemfungulia mlango na yeye anaanza kukucheat,
Relationships should always have a second chance,
The exception is cheating,
Never take back who cheats.
Huyo kisebengo wako wa nje anamwambia mwenzake wa ndani hayo maneno sababu si yeye aliyeolewa, angekuwa yeye ndio mke wa ndoa chances are angefanya same same.Kuna mtifuano mkali sana pamoja na ku admin makosa Kila muda anakumbushia
Tatizo lake anapenda kufwatilia simu sana sanaa
Ni kipaji Maalum yaani atasoma Kila kitu Mimi simu siweki password aisee namkataza wapii
It's my first time kuchepuka tena nilimuonea HURUMA kwa ajili ya watoto wetu wadogo nikasema ngoja ni date na huyu kumpumzisha wife
Sasa akafuma ma charting za hatare.. conversation za hatare mpaka kupigiana simu
Yule babe mpya akamwambia mwanaume hachungwi ivoo hata akiachana na Mimi ata PATA mwingine.. zungumza ma mumeo wakatukanana kinoma
Mbona wanazaa na Bodaboda?Mchepuko hawez kukuzalia kama huna pesa
Haha,mie ni Bora nilimalize,kuliweka moyoni nitakufa nitawaacha wao,Sioni sababu ya kutumia nguvu kwa mume na mchepuko.
Unapiga kimya unauguza kidonda, ukishapona unamuacha mume aanze kuisoma namba
Mmmh,kumi Kwa mmoja anaesema ukweli.Huenda waloshaambiwa “nimeoa” lakini hawakutaka kuzingatia
Mimba anapewa mwenye uwezoMbona wanazaa na Bodaboda?
Njia pekee ya mwanamke kujitetea ni kujitofautisha na wenzakeSio wanawake wote wenye hizo tabia
Mpigane 😀😁Daah,hii ni kujipa presha tu,mie ningemuita huyo demu pahala tuonane tuzungumze vizuri,
Ee,nimchape vibao Hadi akuogope🤣🤣Mpigane 😀😁
Unataka kusemaje?Kama kawaida, uzinzi wamefanya wote lawama anapewa mwanamke🙆♂️🙆♂️
Muhimu maisha yasongeKama vile imekuwa fashion