Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Huyo jamaa yako naye inaonekana Hana Mipango yoyote kwenye maisha yake, yupo Yupo Tu. 🤣🤣Inawezekana mtaani kuna lundo la wanawake ambao wanapitia stress nyingi za kukosa permanent relationship..... Kuna mshikaji wangu nlisoma naye A level, jamaa ana maisha ya kawaida.
Ila ameshazaa na wanawake watatu tofauti, watoto wawili tuu ndo amewatambulisha kwao, mtoto mmoja imebidi amfishe kuepuka aibu nyumbani. Cha ajabu zaidi jamaa anasema katika hao wote watatu hajaona wa kuoa, anasema wote ni kama walimtegeshea, kwa kumdanganya wa safe kumbe wana mipango yao