Nimependa so do the math'sIdadi ya wanaume ni ndogo kuliko wanawake...
Idadi ya wanaume wanaoweza kuhudumia wanawake ni chache kuliko idadi ya wanaume wote...
So do the maths...
Naongezea the simple math's
Nimependa so do the math'sIdadi ya wanaume ni ndogo kuliko wanawake...
Idadi ya wanaume wanaoweza kuhudumia wanawake ni chache kuliko idadi ya wanaume wote...
So do the maths...
Halafu wakawashikia bunduki hao wanaume?Huenda waloshaambiwa “nimeoa” lakini hawakutaka kuzingatia
Nakusalimu kwa jina la jamuhuri🤣Unataka kusemaje?
Shukrani!Nakusalimu kwa jina la jamuhuri🤣
Kwa kweriiiii ngoja tutulie TUNdio mtuliage sasa!
Usicheke nilikua nimevunjika mguu, natawazwa na wife.
Kutulia hakuji isipokuwa kwa kuwa ndani ya Kristo Yesu. Yesu ndiye mwenye uwezo wa kutufungia speed governor!.Ndio mtuliage sasa!
Ushoga mnaukuza tu ila kwa hapa kwetu hauna ukubwa huo ila kwa jinsi mnavyoukuza hakika miaka 10 mbele hali haitakua hivi ilivyo leo.vijana wanakua mashoga kwa kasi lakini pia vijana wengi mnakimbia majukumu ..Mwanaume alioko kwenye ndoa wanawake wengi ombaomba wanamuona kama ishara ya uwajibikaji.
mwanamke ombaomba hana kiapo
Swala ni kwa nini umtegeshee mimba wakati unajua ni mme wa mtu.Kama kawaida, uzinzi wamefanya wote lawama anapewa mwanamke🙆♂️🙆♂️
Naendelea....Ushoga mnaukuza tu ila kwa hapa kwetu hauna ukubwa huo ila kwa jinsi mnavyoukuza hakika miaka 10 mbele hali haitakua hivi ilivyo leo.
Kwa mimi naona sababu ni kua wasichana wanawahi kua wanawake kuliko wavulana kua wanaume.
Sio sababu ya msingi kwa hiyo wanawake wa zamani walikuwa hawawai kukua?Ushoga mnaukuza tu ila kwa hapa kwetu hauna ukubwa huo ila kwa jinsi mnavyoukuza hakika miaka 10 mbele hali haitakua hivi ilivyo leo.
Kwa mimi naona sababu ni kua wasichana wanawahi kua wanawake kuliko wavulana kua wanaume.
Nimeendelea chini hapo ila kwa faida yako acha nikupe dondoo za utafiti wangu.Sio sababu ya msingi kwa hiyo wanawake wa zamani walikuwa hawawai kukua?
Ishu kubwa ni masuala ya uchumi maana vijana hawa wa miaka 35 kushuka chini hawajajipanga kiuchumi kwa hiyo huwa hawaingii moja kwa moja kwenye mapenzi au ndoa.
Wenyewe wana lugha yao wanasema "wanabaluza na kusepa" hawaweki kambi.
Sasa hapo ndio wanawake wanajiongeza kumtafuta mtu mwenye mke wakiamini ana utulivu wa kiuchumi na kiakili
Siyo Maisha magumu ni Tamaduni tu, Wanawake kuolewa Mke zaidi ya mmoja ni sehemu ya tamaduni kwenye Jamii za sehemu ya Mikoa ya Tanzania, karibu jamii nyingi Mwanaume kuoa mke zaidi ya mmoja ni jambo la kawaida, labda kwako wewe unatoka jamii ambayo mnao mke mmoja tu, lakini mtu anayetoka Kanda ya Ziwa, Pwani, Mwanaume kuoa wake zaidi ya mmoja ni jambo la kawaida, kule kanda ya ziwa Ukienda usichangae kukuta Mwanaume ameoa wake 7 au 10, Vijana tunatakiwa tutembee ili kujua Tamaduni za jamii zingine, Mimi niliyoenda Zanzibar nilishanga Mwanamke anaolewa ndoa zinafika mpaka 5 na ndoa zote kazaa na wanaume na kila ndoa kazaa wawili na zote kapewa talaka karudi nyumbani kwao anasubiri Mwanaume atokee ili aolewe tena, kwahiyoHiyo ni Dalili ya maisha kua magumu kwa upande wa hao wanawake,
Ni sawa na mtu anayepigwa na jua kali,akiona tu kimvuli,lazima ajipumzishe hapo.
Kwa wanawake wa sasa wa kufuata mapenzi ya dhati hawazidi asilimia 10 ya wanawake wote duniani.Nimeendelea chini hapo ila kwa faida yako acha nikupe dondoo za utafiti wangu.
Iko hivi, huko kutaka hata uke wenza kunasababishwa na mambo mengi sana.
Usikalili kua kila mwanamke anaekuja kwako au unemtongoza basi kafata pesa, mzee utapigwa sana ukiwa na hiyo mentality hasa ukipata yule ambae atakuakikishia hajafata pesa kwako, sijui unaelewa??
Haya mambo ya pesa tumeyaleta ili kurahishisha kupata utelezi, na kweli inasaidia.
Ila wapo wale walio desparate kwa ndoa na mapenzi ya dhati.
Ujue waanume wengi bado tuko na mfumo dume kulingana na namna tulivyolelewa na wanawake wanajitahidi kujitoa huko kwenye mfumo dume, wapo walio wazi na wanaofanya harakati kimyakimya.Kwa wanawake wa sasa wa kufuata mapenzi ya dhati hawazidi asilimia 10 ya wanawake wote duniani.
Hiyo kanuni unayoisema wewe ilikuwa valid kabla ya mwaka 2000.
Na utakuja kujifunza kwa vitendo siku ukifilisika au ukiugua au ukipata ulemavu ils kabla ya hapo huwezi kulijua hilo maana ni ngumu sana kutofautisha kati ya mapenzi ya dhati na mapenzi ya maigizo kama uko na nguvu ya kiuchumi.
Maana hata huko kijijini ndanindani ambako wanategemea kilimo tu bado wanawake wanachagua mtu mwenye unafuu wa kiuchumi
Hebu jaribu kuisoma heading ya huu uzi,utaelewa kwanini nime comment hivyo,Siyo maisha magumu ni Tamaduni tu, Wanawake kuolewa Mke zaidi ya mmoja ni sehemu ya tamaduni kwenye Jamii za sehemu ya Mikoa ya Tanzania, karibu jamii nyingi Mwanaume kuoa mke zaidi ya mmoja ni jambo la kawaida, labda kwako wewe unatoka jamii ambayo mnao mke mmoja tu, lakini mtu anayetoka Kanda ya Ziwa, Pwani, Mwanaume kuoa wake zaidi ya mmoja ni jambo la kawaida, kule kanda ya ziwa Ukienda usichangae kukuta Mwanaume ameoa wake 7 au 10, Vijana tunatakiwa tutembee ili kujua Tamaduni za jamii zingine, Mimi niliyoenda Zanzibar nilishanga Mwanamke anaolewa ndoa zinafika mpaka 5 na ndoa zote kazaa na wanaume na kila ndoa kazaa wawili na zote kapewa talaka karudi nyumbani kwao anasubiri Mwanaume atokee ili aolewe tena, kwahiyo
kila jamii ina tamaduni zake
Kwenye Sekta ya ndoa, Misiba, Chakula. Kwasisi Tamaduni zetu Mwanaume unaruhusiwa kuoa wanawake unaoweza kuwahudumia kama una uchumi mzuri unaoa wanake kumi au mmoja ni wewe tu, Waislam wao mwisho wa nne.
Hebu jaribu kuisoma heading ya huu uzi,utaelewa kwanini nime comment hivyo,
Au rudia kusoma hii 1st Paragraph ya uzi,
Kumekuwa na kasumba iliyoibuka hivi karibuni ya mabinti kupenda mwanaume aliyeoa na hata kudiriki kumtegeshea mimba ili aolewe mke mwenza.
Inawezekana issue ya Wanawake kuolewa ukewenza ilikuwepo toka kitambo tu ila kwa mujibu wa mleta mada,hii issue ya wanawake kutaka kuolewa ukewenza imeongezeka.
Mimba haitegeshwi. Ni matokeo ya uzinzi bila kutumia kinga. Own your mistakes.Swala ni kwa nini umtegeshee mimba wakati unajua ni mme wa mtu.
Yaani umemuiba ukachepuka naye kimyakimya bado unaona haitoshi unaamua ujitokeze waziwazi na kupiga simu kwenye familia yake kuwa una mimba yake.
Ujue waanume wengi bado tuko na mfumo dume kulingana na namna tulivyolelewa na wanawake wanajitahidi kujitoa huko kwenye mfumo dume, wapo walio wazi na wanaofanya harakati kimyakimya.
Na ndio maana wewe una vigezo vyako vya kupata mke, basi acha na huyo mwanamke awe vigezo vyake mume wake aweje.
Usitake kujiangalia tu ati wewe unataka mke loyal, akubaki kila kitu ilhali wewe hutoi matumizi ndani!! Akubali kukaa njaa akikuvumilia wewe upate, asifanye kazi asubiri wewe upate ndo ulete.
Zamani mwanamke alikua loyal just by nature, yuko hivyo. Ila sasa unamtengeza awe hivyo, ukitaka aliyetengezwa basi si ajabu wewe ndie utaetengezwa kisokolojia na mtaani ukaonekana umepewa limbwata na wewe usijue.