Dah rekebisha kaka kabla mambo hayajawa mengiBinafsi Kuna mmoja pia accidentally tume date,
Wife kajua maana Mimi wife ni mwalimu huyu Dada wa watu ana biashara zake.
Mdada Hana wivu anamuheshimu wife hakuna simu za usiku dada ila wife baada ya kujua
Now ndoa tumekua kama ukanda wa Gaza mara wanaume mbwa mara wanaume nyau nyau nyau ILA MIMI NILI BAHATIKA KUPATA MKE MWEMA ILA NOW NIMEJICHANGANYA SIAMINIKI NAONEKANA MUHUNI
MIMI NI VERY GENTLEMAN ILA SASA YAMENIKUTA
Asante sanaaaaaa ndugu, kaka mkubwa najua umenipa uzoefu wako mkubwaDah rekebisha kaka kabla mambo hayajawa mengi
Nikuibie siri huku kwa sisi tunaolala wenyewe kama mwichi unadhani kuna lolote basi ni mwendo wa kuota tunakimbizwa mara tunapigwa fimbo usiku kucha ila ndiyo vile tutaemweleza nani wakati tuliyataka wenyewe ?
Hizi story za sasa hivi siulizwa mara narudi muda ninaoutaka ni kukseha bar muda mwingine na pocket inakuwa haijanona ila sasa tunarudi nyumbani ili ulale tukapigwe na wachawi ndugu ?
Ndiyo maana ukiona asubhi yeyote aliye single anaomba hela ya nauli arudi nyumbani ikiwa huko vizuri toa tu kaka ,tunapitia mengi .
Rekebishq na shemeji mitala na michepuko sio dili kabisa .
Mambo ya zuchu hayooo....Kumekuwa na kasumba iliyoibuka hivi karibuni ya mabinti kupenda mwanamme aliyeoa na hata kudiriki kumtegeshea mimba ili aolewe mke mwenza.
Nina Brother yangu toka nitoke alipata kazi Shinyanga kama mhasibu wa halmashauri then akapata mke wakaoana. Baadaye akaamishishiwa Tanga, hakukaa hata mwaka tunashangaa namba ngeni inatupigia, kuulza ni nani anatuambia mimi ni mke mdogo wa kaka yenu! Nilichoka kwa kweli.
Kumuuliza Brother anasema huyu binti nilimtamani tu ila akanitegeshea mimba hivyo sina jinsi😂😂😂 Pia kuna jamaa yangu alipata kazi ya ualimu Dar. Aliacha familia huku Dodoma ili akamilishe mambo yake huko Dar then familia imfuate.
Mke amekaa akaona kimya…..uzuri amewahi kwenda kumtembelea kwa kipindi flani so alivyoona kimya akaamua kwenda bila taarifa. Kufika anamkuta binti mjamzito na anajitambulisha me mke mwenzio 😂😂😂😂 Jamani nini kimetokea sikuhizi?
True,
Mke kubadilika nilikua nadekezwa pendwa,
Mke wangu alikua proud sana kwangu mbele za watu ila now imekua vice versa
Anajibu ovyo , mixer kiburi na dharau
All in all, nahaidii amani inarudi kama m
Kuna Wanaume waliokamilika na hawachepuki.Kwahiyo hakuna Wanaume waaminifu kwenye Ndoa zao?
Chukua ushauri huo kaka ,ikiwa mambo hayaeleweki kabisa tia 🚫 huyo shemeji mchepuko .Asante sanaaaaaa ndugu, kaka mkubwa najua umenipa uzoefu wako mkubwa
MICHEPUKO sio deal hasa unapo hatarisha usalama wa ndoa nimechukua kwa mikono miwili now ushaur wako
Hii nzuriii nimeipenda imekaa vyema kabisaChukua ushauri huo kaka ,ikiwa mambo hayaeleweki kabisa tia 🚫 huyo shemeji mchepuko .
Kaa na shemeji maana kila kitu kiko wazi eleza uhalisia ,omba msamaha ,jishushe bro ,kuachana na mkeo aliyekuwa anakuheshimu huwezi tobaoa kumpata wa hivyo tena nakueleza .
Jishushe yajengeni ,ita hata wazee wa makamo myamalize ila sqsa jikaze hata mwaka usiendelee na michepuko ,unaharibu soon ukisema uache mambo yajiendee yenyewe .
Wanawake wameumbiwa kuzungumza mpe muda akutukane ,akuseme na huo muda sema neno usikae kimya ,akitukana sema mama nilikosea ,mama nisamehe ,mama tuqnze upya naapa kuacha ila akizingumza ukanpa sura mdomo ukatia gundi nakuhakikishia unakuja huku kaka soon na mimi huku sikushauri mwenzio nimepachoka ila ndiyo vile kichwa changu bado kina mawenge ila kikiwa sawa shemeji yako nitakutambulisha na yupo hapa hapa jamvini
Haya mambo ni changamoto.Sasa ukute ulishaambiwa me mme wa mtu then unaanza kujishaua mkeo amenizidi nini😂😂😂
Duh… That’s stating the obvious! Unahitaji lesson ya universal set na subset?Idadi ya wanaume wanaoweza kuhudumia wanawake ni chache kuliko idadi ya wanaume wote...
So do the maths...
Wewe ni very nini mkuu?Binafsi Kuna mmoja pia accidentally tume date,
Wife kajua maana Mimi wife ni mwalimu huyu Dada wa watu ana biashara zake.
Mdada Hana wivu anamuheshimu wife hakuna simu za usiku dada ila wife baada ya kujua
Now ndoa tumekua kama ukanda wa Gaza mara wanaume mbwa mara wanaume nyau nyau nyau ILA MIMI NILI BAHATIKA KUPATA MKE MWEMA ILA NOW NIMEJICHANGANYA SIAMINIKI NAONEKANA MUHUNI
MIMI NI VERY GENTLEMAN ILA SASA YAMENIKUTA
Ntamwacha taratibu taratibu maana Kuna occasion moja nilimuona anachomoa nyuzii kwenye boksa 🤣🤣Wewe ni very nini mkuu?
Na una kimamda 🤣
Kama unakubali umepata mke basi unaweza jiweka ulivokuwaga ili mkeo akuamini hapo ni pamoja na kumuacha huyo dada ambae hana wivu kwa mkeo.
Na kweli, hata kama mwanaume umeajiriwa, kuhudumia mwanamke si mchezo, umlipie mtu kodi ya chumba, bills, pengine ada, apo bado mahari, cost za harusi, kipindi mpo wote kwenye long term relationship, ndo maana wanaume wengi wanaishia kununua maafisa utamu😁. Watu8Idadi ya wanaume wanaoweza kuhudumia wanawake ni chache kuliko idadi ya wanaume wote
Hatari sana hiyo! Vijana/wanaume waache kupiga mbichi/bila kinga wala tahadhari.Kama ni kwa maamuzi yao wakiwa na akili timamu,basi maamuzi yao yaheshimiwe na waoe tu.Kumekuwa na kasumba iliyoibuka hivi karibuni ya mabinti kupenda mwanamme aliyeoa na hata kudiriki kumtegeshea mimba ili aolewe mke mwenza.
Nina Brother yangu toka nitoke alipata kazi Shinyanga kama mhasibu wa halmashauri then akapata mke wakaoana. Baadaye akaamishishiwa Tanga, hakukaa hata mwaka tunashangaa namba ngeni inatupigia, kuulza ni nani anatuambia mimi ni mke mdogo wa kaka yenu! Nilichoka kwa kweli.
Kumuuliza Brother anasema huyu binti nilimtamani tu ila akanitegeshea mimba hivyo sina jinsi😂😂😂 Pia kuna jamaa yangu alipata kazi ya ualimu Dar. Aliacha familia huku Dodoma ili akamilishe mambo yake huko Dar then familia imfuate.
Mke amekaa akaona kimya…..uzuri amewahi kwenda kumtembelea kwa kipindi flani so alivyoona kimya akaamua kwenda bila taarifa. Kufika anamkuta binti mjamzito na anajitambulisha me mke mwenzio 😂😂😂😂 Jamani nini kimetokea sikuhizi?
Shida mwanamke anakuaminisha niko siku salama we enjoy kumbe amekutegeshea. Na kikitokea cha kutokea ndo utajua hujui 😂😂😂Hatari sana hiyo! Vijana/wanaume waache kupiga mbichi/bila kinga wala tahadhari.Kama ni kwa maamuzi yao wakiwa na akili timamu,basi maamuzi yao yaheshimiwe na waoe tu.
Ukiingia mkenge lazima unyooshwe na kutangaziwa kwamba una aleji na kondomu.Ila maisha haya tunaviziana mnoo hadi tunatetemeka roho na miili.Shida mwanamke anakuaminisha niko siku salama we enjoy kumbe amekutegeshea. Na kikitokea cha kutokea ndo utajua hujui 😂😂😂