Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 26,224
- 71,873
Hii ipo kwa bi wadogo ila bi wakubwa ukiona kakubali uke wenza ujue ana kipozeo chake kwahiyo anafurahia kupata muda mwingi wa kuenjoy na bwana mdogo, halafu wakati huo mume yupo bize na bi mdogo hata muda kumfatilia hana,,,,Wanawake baadhi wanatafuta wanaume waliopo vizuri kiuchumi. Wanaume waliopo vizuri kiuchumi wengi wana miaka kuanzia 35 ambapo wengi wao wana familia tayari.