NGOMEKONGWE2021
JF-Expert Member
- Dec 6, 2021
- 616
- 1,225
Wadau
Majuzi nilikuwa naangalia Tanzania Film Festival 20202021 kule Tughimbe Hotel Mbeya ....Kwa kweli nilishangazwa sana na wengi ya wasanii wakiume waliochukua Tuzo walikuwa wanalia lia hovyo na kuishiwa nguvu kabisa na kuanza kulilia mama zao pale jukwaani....
Mi ninavyoelewa machozi ya furaha huwa hayamfanyi mtu hasa mwanaume aishiwe nguvu na aishiwe hata kutamka maneno na kudondosha machozi kama kitoto kimenyimwa pipi au chama.......Wakati kuna akina dada kibao walipata matuzo na walikuwa very strong walitoa machozi ya furaha na wakaongea tukawasikia.....!
Halafu kuna kabwana mdogo kamoja sijui anaitwa Bernard ndiyo alichukua Tuzo nyingi kuliko wote hakupenga hata kamasi ..mkavu kichizi....pengine wale wengine wanaolia lia ni kaka zake....Jambo hili ndilo lililonikera kupita kiasi...hata nikajuta kuhudhurua...Hii kulia lia hovyo inasababishwa na nini wakuu? Au ndiyo uana mme wa Dar?
Anyway..hongereni sana waandaji na waliopokea tuzo bila kulia lia