Tetesi: Hii tanzia ya Mwalimu Frank ilisharepotiwa hapa

Tetesi: Hii tanzia ya Mwalimu Frank ilisharepotiwa hapa

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Nilibahatika kumfahamu Mwl. Frank verified user kwenye mada maalum ya magari... Lakini hivi karibuni nimeambiwa hatunaye tena na kifo chake kilitokana na kujinyonga/ kunyongwa?
Mniwie radhi Kama taarifa hizi si sahihi

Jr[emoji779] [emoji779] [emoji779]
CC Moderator
 
Member wengi sana wamefariki humu ila hakuna anayejua, na hii ni kwa sababu ya usiri wetu sana!

Ni wachache sana waliobahatika kufahamiana.

Mshana hebu fatilia kwa kina kama kweli.
Kuna whatsapp group ya magari alikuwa member kule ndiko ambako habari zake zilitangazwa... Naamini tutajulishwa soon.. Ni mtu wa makamo above 50 kifo chake kina utata
 
Kuna whatsapp group ya magari alikuwa member kule ndiko ambako habari zake zilitangazwa... Naamini tutajulishwa soon.. Ni mtu wa makamo above 50 kifo chake kina utata
Nipe link ya magari mkuu nipate maujanja nijiunge huko
 
Back
Top Bottom