Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna whatsapp group ya magari alikuwa member kule ndiko ambako habari zake zilitangazwa... Naamini tutajulishwa soon.. Ni mtu wa makamo above 50 kifo chake kina utataMember wengi sana wamefariki humu ila hakuna anayejua, na hii ni kwa sababu ya usiri wetu sana!
Ni wachache sana waliobahatika kufahamiana.
Mshana hebu fatilia kwa kina kama kweli.
Nipe link ya magari mkuu nipate maujanja nijiunge hukoKuna whatsapp group ya magari alikuwa member kule ndiko ambako habari zake zilitangazwa... Naamini tutajulishwa soon.. Ni mtu wa makamo above 50 kifo chake kina utata