Hii technology ya Israel ya kulipua kwa Simu na laptop wangekuwa nayo hawa watekaji na Wauaji hali ingekuwa mbaya sana .

Hii technology ya Israel ya kulipua kwa Simu na laptop wangekuwa nayo hawa watekaji na Wauaji hali ingekuwa mbaya sana .

Haya mapinduzi ya kiteknolojia ya Israel ni ya hali ya juu sana na hayapaswi kufurahiwa sana

Yasifike tu huku Africa hasa Tanzania katika hali hii ya utekaji ,vingekuwa vinasingiziwa tu vifaa
Hawa secret Service wa kwetu ni vihiyo watupu, kwanza wengine wamefika pale sio kwa sababu ya weredi Bali undugu, wengi wao ni form four failures, elimu kubwa waliyonayo ni kidato cha Sita.
NI wapuuzi watupu, hakuna watu nawadharau kama polisi, jwtz(ukiondoa walioingia na taaluma)
 
Wakati wa vita ya kagera.nduli aliomba msaada kwa gaddafi,majasusi jeshi TZ walivyo nasa mchongo,wakaufanyia kazi.

Ndege ya jeshi toka libya ikiwa na dhana kuelekea Uganda.ilijikuta ikitua Tanzania, kwani majasusi wali hack mawasiliano ya marubani.nakuiongoza toka inaliacha anga ya Ethiopia.

Kitendo hicho kinasemekana hakikuwahi kufanyika ulimwenguni.
 
Wakati wa vita ya kagera.nduli aliomba msaada kwa gaddafi,majasusi jeshi TZ walivyo nasa mchongo,wakaufanyia kazi.

Ndege ya jeshi toka libya ikiwa na dhana kuelekea Uganda.ilijikuta ikitua Tanzania, kwani majasusi wali hack mawasiliano ya marubani.nakuiongoza toka inaliacha anga ya Ethiopia.

Kitendo hicho kinasemekana hakikuwahi kufanyika ulimwenguni.
Mshukuruni Mwalimu hii mbinu alimegewa na wa Israel. Otherwise bukoba ingekuwa ninsehemu ya Uganda
 
Ukishaweza kuvunja mawasiliano kwa watu kuviogopa vifaa vya mawasiliano unakuwa umemaliza vita kiaina, miongoni mwa teknolojia mpya ya Marekani ambayo amefundishwa na Israel na ambayo bado haijaanza kutumika ni, ku- jamm weapons /yaani silaha mnazokuwa nazo zina jamm zote!
Kwa hio mechanical system ina jamu.
Bundiki iundwe na mrusi halafu Israel ana ijamusha eti ? Risasi haitoki. By mechanical mechanism haitoki ng'o !
Hii ndio Tanzania ya mama samia. Ngoja niishie hapa tu maana naweza kukifuru bure.
 
Simu hii ya betri ya lithium au kuna simu zingine ? Simu ikilipuka moto wake hauwezi kuzidi hata eneo la kiganja. Lithium battery ili ilipuke inahitaji joto la nje au iwe ktk umeme au iwe imeisha vimba. Simu ni kilipuzi pale kinapo pata external factor. Kwa fizikia ndogo sana ya o level.
Kama simu inalipuliwa mbali basi muundaji wa simu awe amehusika moja kwa moja vinginevyo simu haiwezi kulipuliwa na software vinginevyo ifanyiwe improvement na mtu mbaya.
Anyway ngoja waje wajuzi wa fizikia ya ndani wathibitishe jinsi mifumo ya mbali inavyoweza kuilipua simu. Inawezekana elimu yangu ipo shallow.
 
Mbinu zipo toka kitambo.

Vipi kilitokea kifo cha Eduardo Mondlane? Mnamo Febuari 3, 1969, Mondlane aliuliwa mjini Dar es Salaam alipofungua kifurushi kilichokuwa kimetegwa bomu ndani yake. Kuna baadhi wanaowanyooshea kidole cha lawana wapinzani wake ndani ya FRELIMO na PIDE, Jeshi la Ulinzi la Kimataifa la Taifa la Ureno. Lakini hadi hii leo, mauaji yake bado ni kitendawili.

Bahasha hiyo inaonekana ilitokea south africa na kupita nchi zote kuingia tanzania mpaka wa tunduma.
 
Back
Top Bottom