Hii technology ya Israel ya kulipua kwa Simu na laptop wangekuwa nayo hawa watekaji na Wauaji hali ingekuwa mbaya sana .

Hii technology ya Israel ya kulipua kwa Simu na laptop wangekuwa nayo hawa watekaji na Wauaji hali ingekuwa mbaya sana .

Haya mapinduzi ya kiteknolojia ya Israel ni ya hali ya juu sana na hayapaswi kufurahiwa sana

Yasifike tu huku Africa hasa Tanzania katika hali hii ya utekaji ,vingekuwa vinasingiziwa tu vifaa
kwa bahati mbaya sana, soon itadondokea mikononi mwa magaidi au nchi za wavuta bange kama iran na wengine, urusi atawapa. na dunia patakuwa mahali pabaya sana pa kuishi, kwasababu wavuta bange wakipewa rungu unajua watakachofanya.
 
Kuna mtu alikuwa na pacemaker halafu anawasema vibaya mabeberu 😂😂
Mzungu ni balaa. Juzi Makamu wa rais kazindua uwashaji vifaa vya usikivu kwa watoto 14 (cochlear implant) Muhimbili, wameshasetiwa vifaa ktk sikio ila hakifanyi kazi had kiwashwe kwa mawimbi, mfumo unaowasha kifaa hicho ni ambao upo nje mtu ana u control, so mtengenezaji si anaweza akazima muda wowote huko aliko.
 
Ila Yahudi nimemvulia kofia nasikia huko Lebanon watu wametupa hadi miwani zisiji kuwalipukia
Hasara ambayo Israel imempa mfadhili wake mkuu Marekani ni kwamba hizo services nyingi zilitoka kwenye makampuni ya Marekani na kwa kitendo hicho tayari wametangaza kuuwa biashara ya hizo kampuni kwa sababu sasa watakimbilia makampuni ya kuchina kama wafanyavyo hamas...
 
Weee kumbe? Mbona sasa sijaona kifaa kilichotengenezwa Amerikani hapo? Hebu niambie mkuu ni kifaa gani kilicholipuka kimetoka Usa?
 
Back
Top Bottom